Basi sasa wasiwe vinara wa kushauri wengine wafanye hayoKwani lazima kila Mwl.awe na shule...au Medical Dr awe na Hospital???
Kabla ya kulaumu ni vema ukajua majukumu mtu mwenye Phd yepi.Mtu mwenye Phd si mtu wa kuzalisha,huyu ni mtafiti na kazi yake kubwa ni kusafiri na kutembelea sehemu mbalimbali kuangalia nini, vipi na kwanini watu wanafanya halafu analinganisha na kutoa matokeo na kushauri nini kifanyike. Kazi ya kuzalisha inafanywa na watu wenye CERTIFICATE na Diploma wakisimamiwa na Degree holder. Labda km unataka kuja na utaratibu wako.Mm prof kama hana mradi siwez sikiza ushauri wake kbs
Fact mzee, pale sua kuna phd holder miaka yote wapo tu wanafanya utafiti gani?Kabla ya kulaumu ni vema ukajua majukumu mtu mwenye Phd yepi.Mtu mwenye Phd si mtu wa kuzalisha,huyu ni mtafiti na kazi yake kubwa ni kusafiri na kutembelea sehemu mbalimbali kuangalia nini, vipi na kwanini watu wanafanya halafu analinganisha na kutoa matokeo na kushauri nini kifanyike. Kazi ya kuzalisha inafanywa na watu wenye CERTIFICATE na Diploma wakisimamiwa na Degree holder. Labda km unataka kuja na utaratibu wako.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
unataka kujifunza hiyo kitu vizuri. nenda nigeria au south africa au hata hapo malawi kwanza hawana tabia ya kubania watu wasi graduateHii kozi ninaoina kama miyeyusho fulani ivi maana nikiangalia maprof, Dr na PHD zao wote wameishia kuwa waalimu tu yaani malecturer tu, hakuna aliefungua mradi wake ata wa kufuga sato wanatufundisha sisi tusome tujiajiri kivipi!? Kama wewe na phd yako huna hata bwawa la samaki mm nitaweza vipi?
Dunia ya sasa inaenda kasi sana kwenye technolojia, tutaweza vipi kumudu mapinduzi hayo ikiwa mmetupatia mafunzo too old hakuna cha teknolojia wala nini tufungie kwenye mapond ili hali nchi za wenzetu hawafanyi hivyo.
Mwisho Elimu ya bongo ni miyeyusho tu[emoji1]
Wanapaswa wawe na sample walauKabla ya kulaumu ni vema ukajua majukumu mtu mwenye Phd yepi.Mtu mwenye Phd si mtu wa kuzalisha,huyu ni mtafiti na kazi yake kubwa ni kusafiri na kutembelea sehemu mbalimbali kuangalia nini, vipi na kwanini watu wanafanya halafu analinganisha na kutoa matokeo na kushauri nini kifanyike. Kazi ya kuzalisha inafanywa na watu wenye CERTIFICATE na Diploma wakisimamiwa na Degree holder. Labda km unataka kuja na utaratibu wako.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Punguza ujuaji mkuu, kajifunze majukumu ya hao unaowalaumu. Fanya uchunguzi wako dunia nzima ili ujustify hayo malalamiko yako.Hii kozi ninaoina kama miyeyusho fulani ivi maana nikiangalia maprof, Dr na PHD zao wote wameishia kuwa waalimu tu yaani malecturer tu, hakuna aliefungua mradi wake ata wa kufuga sato wanatufundisha sisi tusome tujiajiri kivipi!? Kama wewe na phd yako huna hata bwawa la samaki mm nitaweza vipi?
Dunia ya sasa inaenda kasi sana kwenye technolojia, tutaweza vipi kumudu mapinduzi hayo ikiwa mmetupatia mafunzo too old hakuna cha teknolojia wala nini tufungie kwenye mapond ili hali nchi za wenzetu hawafanyi hivyo.
Mwisho Elimu ya bongo ni miyeyusho tu[emoji1]