Kama wenye PhD ya Aquaculture hawana hata bwawa la samaki, mimi nitaweza vipi?

Yule mbunge msukuma alisema kafanya utafiti maDr na maprofesa wa SUA hawafanyi tafiti Bali wamefungua bar morogoro nzima. Bar zote zinamilikiwa na Hao ma Dr na maprofesa wa SUA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…