Kama Wenyewe tu hamjiheshimu, mnajirahisisha na mnaendekeza mno Tamaa na Pupa ya Maisha, kwanini msiombwe na Mchakazwe hovyo?

Kama Wenyewe tu hamjiheshimu, mnajirahisisha na mnaendekeza mno Tamaa na Pupa ya Maisha, kwanini msiombwe na Mchakazwe hovyo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
“Sijui kama inawakuta wavulana lakini rushwa ya ngono kwa wasichana ni tatizo kubwa. Inahitaji uwe jasiri na ujue mifumo ya kuripoti”.
-
Lydia Charles Moyo (31), Mkurugenzi wa taasisi ya @herinitiative alikuwa mmoja kati ya washindi sita waliopata tuzo ya kimataifa ya Global Citizen mwaka 2024 na KBF ambapo alipata zaidi ya shilingi milioni 560 za Kitanzania.

Chanzo: bbcswahili

Nilishashuhudia Mwanamke akimwambia Mwenzake amvulie Boss ili aajiriwe na apewe hata Cheo na kweli akafanya.
 
Back
Top Bottom