“Sijui kama inawakuta wavulana lakini rushwa ya ngono kwa wasichana ni tatizo kubwa. Inahitaji uwe jasiri na ujue mifumo ya kuripoti”.
-
Lydia Charles Moyo (31), Mkurugenzi wa taasisi ya @herinitiative alikuwa mmoja kati ya washindi sita waliopata tuzo ya kimataifa ya Global Citizen mwaka 2024 na KBF ambapo alipata zaidi ya shilingi milioni 560 za Kitanzania.
Chanzo: bbcswahili
Nilishashuhudia Mwanamke akimwambia Mwenzake amvulie Boss ili aajiriwe na apewe hata Cheo na kweli akafanya.