Kama wewe hujawahi kufungwa sita una haki ya kuwaita Jwaneng vibonde

Kama wewe hujawahi kufungwa sita una haki ya kuwaita Jwaneng vibonde

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Pamoja na kuwabeba, kuwaonesha mbinu,na kuwalisha maneno ya kuzungumza kwenye press, bado walijaribu kuchezea koki wakaloa goli sita.

Kama wewe timu yako haijawahi kuchezea kipigo kama hicho jipige kifua useme mimi sio kibonde.

Kushangilia mchezaji wa kukamia mechi kama yule dogo aliyewapiga tatu yeye peke yake akiwa polisi, ni ushamba pia
 
Back
Top Bottom