Kama wewe ni daktari pita hapa

Kama wewe ni daktari pita hapa

Software Engineer

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2014
Posts
344
Reaction score
137
Tumeandaa database itakayompa mtanzania uwezo wa kuona, kuchagua na kuwasiliana na daktari anayemtaka pindi anapojisikia kufanya hivyo kwa urahisi kabisa kupitia simu yake ya mkononi.

App yenyewe iko HAPA au Playstore tafuta "GRABDOCTOR".

Ukiwa kama daktari au mdau wa afya tunaomba utusaidie taarifa za madaktari wa kada zifuatazo ili tuweze kurahisisha zoezi hili
1. Cardiologist
2. Dentist
3. Gynecologist
4. Gastrologist
5. Dematologist
6. Eye care
7. Neurologist
8. Homeopathy
9. Ayurveda
10. Urologist
11. Pulmologist
12. Orthopedic
13. Internal medicine
14. General
15. etc

Taarifa za daktari zifuatazo ndiyo zinazohitajika
1. Full name
2. Affiliated hospital|clinic
3. Schedule: e.g. Monday 11:00~17:00, Wednesday 09:00~14:30, etc
4. Contact: Mobile,Telephone,Email etc

Kama una maoni, ushauri, etc juu ya database hii unakaribishwa.
 
kwanza badili kichwa cha habari kijieleze angalau kidogo,
pia maelezo hayatoshi, hayo majina ya specialists unayoyataka unayafanyia nini baada ya kuyapata, utawasiliana nao? utawaambia nini..,

we mwenyewe hujajielezea ni nani, unafanya nini, maelezo kuhusu hiyo database itakavyokuwa inafanya kazi pia hayatoshi mkuu
 
hio namb 8 na tisa hao ni hizo ni medical speciality kweli?
 
Mkuu tangazo lako lina makosa mengi sana ya kiufundi. Kwa haya tu unaonekana wewe ni tapeli! Na wala hujui unachokifanya...Na ni vyema piabukasoma sheria na sera za utoaji wa afya Tanzania, kwamba Huduma ya afya, awe mtu au kituo hakitakiwi kujitangaza kibiashara..Unachotaka kufanya wewenunataka utumie website yako utangaze hawa madokta nna uingize kipato kwa namna unayoijua...Hilo ni kosa!! Take it or leave it......nalog off!
 
Ulishatapeliwa? Pole inaonekana unaishi na matapeli.

Hizo sheria ziko wazi, tulichofanya hapa ni kurahisha ile process ya mtu anapotafuta huduma ya afya.

Katika hali ya kawaida mtu anapotaka huduma ya afya atajaribu hatua zifuatazo:
1. Atauliza kwa mtu anayeishi naye
2. Atauliza kwa jirani
3. Atauliza kwa rafiki yake
4. n.k

At the end atafanya uamuzi wa kwenda kumuona daktari au hospital baada ya kusikia kutoka kwa hao wadau hapo juu.

Tumetengeneza mobile app inayorahisisha mchakato mzima wa kutafuta huduma za afya. Kwa maelezo zaidi bonyeza HAPA au ingia Playstore kisha tafuta GRABDOCTOR.

Usiwe rigid,dunia ya leo ni teknolojia kila mahali, hizo sheria waliweka ili kuwadhibiti walafi wanaotumia huduma ya afya kama sehemu ya kutafuta shibe.
 
kwanza badili kichwa cha habari kijieleze angalau kidogo,
pia maelezo hayatoshi, hayo majina ya specialists unayoyataka unayafanyia nini baada ya kuyapata, utawasiliana nao? utawaambia nini..,

we mwenyewe hujajielezea ni nani, unafanya nini, maelezo kuhusu hiyo database itakavyokuwa inafanya kazi pia hayatoshi mkuu

Tumetengeneza mobile app itakayorahisisha mchakato wa mtu kupata taarifa za hospital au madaktari katika eneo husika.

App yenyewe iko HAPA au Playstore tafuta "GRABDOCTOR".

Pole kwa usumbufu uliojitokeza.
 
hio namb 8 na tisa hao ni hizo ni medical speciality kweli?

Tusaidie kuweka sawa daktari.

Tumetengeneza mobile app itakayorahisisha mchakato wa mtu kupata taarifa za hospital au madaktari katika eneo husika.

App yenyewe iko HAPA au Playstore tafuta "GRABDOCTOR".

Pole kwa usumbufu uliojitokeza.
 
Hakuna specialist wa hiyo namba 8

Tusaidie kuweka sawa penye makosa Doctor.

Tumetengeneza mobile app itakayorahisisha mchakato wa mtu kupata taarifa za hospital au madaktari katika eneo husika.

App yenyewe iko HAPA au Playstore tafuta "GRABDOCTOR".

Pole kwa usumbufu uliojitokeza.
 
Hii namba 9
Hatuna specialist ya namna hii
Ayurveda

Back
Top Bottom