Kama wewe ni mama wa mtoto huyu ungefanyaje?????

Michezo mingine ya hatari......!!
 
mtoto hana hatia.. na nyoka huuma/hutema sumu akihisi yuko hatarini...vinginevo han mpango na mtu!!
 
Huyu nyoka ni wa kufugwa baadhi ya maeneo huko India, na ashatolewa sumu. Kwao ni kawaida tu. Halafu pia ni nadra sana nyoka kushambulia mtoto; hana adrenalin ya kutosha kuchokoza instinct za nyoka kushambulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…