Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Utapeli mwingine na namna hii. Either anakuwa tapeli ahusiki na kampuni hio au ni winga wa kukusanyia bidhaa ila anajitambulisha kuwa ni wa kampuni husika.
Unakuta hadi bizness cards wameandaa either ikiwa na jina ya kampuni maarufu au kampuni feki alioitunga.
Then anakuambia tumepita kutangaza kampuni yetu na kama utahitaji bidhaa nipigie na tutakutumia mzigo.
Sasa ukiingia kingi siku unaagiza bidhaa unatuma mpunga ndio basi tena pesa isharuka hio na bidhaa utaambulia kula upepo.