ndio kuna kampuni hawaleti mpaka ulipie, muhimu kuverify kampuni na kulipa kwenye acc zenye majina ya kampuniNalipa kabla sijapokea mzigo? Hiyo ni no-no
Ilitakiwa payment iwe upon receipt of delivery.ndio kuna kampuni hawaleti mpaka ulipie, muhimu kuverify kampuni na kulipa kwenye acc zenye majina ya kampuni
Yaani mtu humjui, anakuja dukani kwako, anakuambia ulipie ndiyo alete mzigo na wewe unalipa? Nadhani unamaanisha pale unapolipia kwenye kampuni ambayo inajukana na unatumia channel yao rasmi. Anyway, Tanzania watu wana tabia ya kuamini watu kwa urahisi mno ndiyo maana watu wanatapeliwa kwa urahisi. Kuamini watu kwa urahisi + kupenda dezo + kupenda utajiri wa haraka = kupigwa.ndio kuna kampuni hawaleti mpaka ulipie, muhimu kuverify kampuni na kulipa kwenye acc zenye majina ya kampuni
Unatumaje pesa kabla ya kupokea mzigo?Utapeli mwingine na namna hii. Either anakuwa tapeli ahusiki na kampuni hio au ni winga wa kukusanyia bidhaa ila anajitambulisha kuwa ni wa kampuni husika.
Unakuta hadi bizness cards wameandaa either ikiwa na jina ya kampuni maarufu au kampuni feki alioitunga.
Then anakuambia tumepita kutangaza kampuni yetu na kama utahitaji bidhaa nipigie na tutakutumia mzigo.
Sasa ukiingia kingi siku unaagiza bidhaa unatuma mpunga ndio basi tena pesa isharuka hio na bidhaa utaambulia kula upepo.