Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Kama wewe mwana jamii ni mjanja basi nitakusifu sana ila sidhani kama huwa kuna mjanja hapa kwetu tanzania jibu maswali yote haya kujua kama wewe ni mjanja.
1. Je umewahi kuuziwa bidhaa ngapi zilizofungashwa vizuri wakasema gram au kg zake mfano 200 na ukawaomba mzani wa Electroniki ili ujiridhishe, kama ulikubali na ukaamini tu bila ya kupima mwenyewe basi wewe sio mjanja, hata kama uliwahi kupima mara 1 tu bado hujawa mjanja unatakiwa kila ununuapo, na kama mzani ulichezewa nenda kwenye mdani sahihi uwaumbue ili uonyeshe kuwa wewe ni mjanja kweli.
Picha hapo chini ni mkate umeandikwa una gr 400 kwenye kifungashio ila kuwekwa kwenye mzani ukaonyesha gr. 339 sasa hapa unasemaje.