Kama wewe ni mjanja na umesema hujawahi kuibiwa njoo uone

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Kama wewe mwana jamii ni mjanja basi nitakusifu sana ila sidhani kama huwa kuna mjanja hapa kwetu tanzania jibu maswali yote haya kujua kama wewe ni mjanja.

1. Je umewahi kuuziwa bidhaa ngapi zilizofungashwa vizuri wakasema gram au kg zake mfano 200 na ukawaomba mzani wa Electroniki ili ujiridhishe, kama ulikubali na ukaamini tu bila ya kupima mwenyewe basi wewe sio mjanja, hata kama uliwahi kupima mara 1 tu bado hujawa mjanja unatakiwa kila ununuapo, na kama mzani ulichezewa nenda kwenye mdani sahihi uwaumbue ili uonyeshe kuwa wewe ni mjanja kweli.

Picha hapo chini ni mkate umeandikwa una gr 400 kwenye kifungashio ila kuwekwa kwenye mzani ukaonyesha gr. 339 sasa hapa unasemaje.

 
kimkate kama hicho acha muibiwe tu, me nanunua lile la buku mbili mia tano supa loaf nikishindwa bora nipitie tumbua za mama mwajabu..
 
Sidhani kama Neno "MJANJA" Linamaanisha ni Mtu Ambae Hajawahi Kuibiwa.
 
Sometimes ni ushamba tu, kwa iyo ukienda kununua suruali unaomba na kile kipimio ili upime size? Huo ni ushamba kwani hujui unavaa size gani ya nguo? Ukinunua soda nayo umimine kwenye kipimo ili uamini kama ni mil 350? Halafu ukigundua imepungua mil 2 ugombane na muuzaji kwa upungufu huo, sasa hiyo akili au ush##zi, je unajua facts zinazofanya uzito wa baadhi ya bidhaa kupungua? Pengine uliuziwa mkate wa mwaka jana? Kwa hiyo unaponunua bando huwa unapimaje kuthibitisha kuwa huibiwi, Mambo hayo hufanwa na wanawake anajua kuwa kabeba mia tano kwa ajili ya kununua nyanya tatu sasa akifika gengeni atachangua nyanya tenga zima alaf ataondoka na nyanya zake 3, sasa huo muda wa kuanza kupima kila kitu unaupata wapi,
Kuna swali la mwana jf anaitwa faizafox huwa anauliza"HIVI HUKO SHULE HUWA MNAENDA KUSOMEA UJINGA? "
 
Ipime akili yako kabla huja comment na usome vizuri ndio uelewe. usikurupuke na maneno yasiyo na staha sio ustaarabu jifunze uelewe, Hakuna nguo iliyo zungumziwa hapo kwenye mada, hujawahi kwenda dukani kununua nguo ukawaomba futi ili ujue saizi ya kiuno chako, unapo nunua ukivaa inakuwa haitoshi huwa unarudisha wakupe saizi yako au unagawa wengine wavae. Ngoja nikufundishe kidogo, kazi ya wakala wa vipimo ni nini ni kupokea maoni ya watu kuhusu vipimo vilivyo fungashwa na havijafikia kama iliyopimwa, kwenye mkate hujaambiwa ni wa jana unakurupuka eti ni wa lini ungeuliza mkate ulitengenezwa lini na lini ukawekwakwenye mzani sio kukurupuka uonekane umeongea, Habari ya bando huwa inakuja na idadi ya MB statistics kwenye matumizi yako ukijumlisha inakupa idadi ya matumizi ya bando ni rahisi kuridhika. point zako na maswali usiyaulize tena hadi unaonekana kuwa #Msh*i. tunazungumzia bidhaa zilizoandikwa kwenye vifungashio na kila bidhaa kuna jinsi ya kununua. Manji anauza Gesi ukinunua anakuwekea mtungi kwenye mzani au hujawahi nunua gesi, hizo ndio habari tunazo zizungumzia. nimekupa yako ili ujue huko shule ni moja wao wa wale walioenda kusomea ujinga. ungetoa maswali yanayoendana na topic ujibiwe usikurupuke kama #mshwa*i. pole sana usirudie tena kwenye topic hii naona inakuudhi sana
 
Yaani wewe zero kabisa sasa hiyo futi ya kupimia nguo unapimaje kwa mfano wewe kiuno unavaa futi ngapi? Hayo mambo ya kwenda sijui na futi ili upime nguo nilishasau, twende sasa bidhaa nyingi huwa zinapungua uzito baada ya muda fulani, mbona ni akili ya wastani tu unatumia kuelewa hilo, kwa iyo wewe kupima mkate kwa mzani ndo umejiona mjaaanja? Kama ulikuwa hujui kuna miamba ilipima samaki kwa kutumia rula tena kwenye cafe ya watunga sheria. Mimi sijaona ujanja wako hapo.
 
Kuna nguo alizo tengeneza mchina, mmarekani na muingereza namba zao ni tofauti kabisa, huendi na kipimo mbona huelewi wewe madukani unaponunua nguo kama huelewi namba yako wanakupima wao wanazo futi, wanakuchagulia unaambiwa kuna chumba cha kupimia kama hamna chumba wanakwambia kapime ikikubana njoo kabadilishe, unaelewa mantiki hapo. hayo ndo maneno ungetumia kusema bidhaa flan huwa inapungua uzito kwa muda flani sio ukurupuke na mengine yasiyo ya msingi hivi uliona ukisema huwa yanapungua kwa muda flan wasingekuelewa au, ukiutoa mkate muda huu kiwandani ukiupima halafu haukukamilika utasemaje. sidhani kama unaongea unachokielewa au huelewi, mantiki ya kupima samaki na rula ilikuwa inamaana gani walikuwa wanatafuta uzito au urefu wa samaki kwa hiyo unawaona ma bw*ge wanaotaka kujua urefu wa samaki na wewe mwenye akili iliyosimama ungepima urefu wa samaki kwa kutumia tu hayo mak*ngeza yako sio. lugha ya kutumia kwa mtu kama zero na mengine ndio inatusaidia kujua kuwa wewe ni nani na ni verse versa ipo kwako sasa.
 
Tatizo sio kupima tunataka sana kupima Ila hiyo mizani yenyewe hakuna au hata ule wa kupimia korosho nao ni sawa tu
 
Hii ni ile mikate kutoka Kenya? Huwa ni mitamu balaa.
 
je umewahi kujiuliza ni lini mara ya mwisho mzani wako umekua 'recalibrated' ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…