Tmainitvp
Member
- Mar 25, 2019
- 64
- 119
Inauma na kusikitisha sana pale ninapomuona mwanamke tena mke wa mtu akinywa pombe mbaya zaidi akishinda Bar au night clubs akinywa. Ukiona hivyo my bro jua tu, unachapiwa, sehemu hizo ni mbaya sana, nikama unachezea shilling kwenye tundu la choo. Hamna mjanja kwenye pombe, pombe haina mwenyewe.
Luth(Lutu) mwenyewe kwenye biblia alifanyishwa tendo la ndoa na binti zake akiwa amelewa hajitambui, Nuhu yeye hata kujitambua kua yupo uchi alishindwa, hata mtoto wake kumuona uchi wake, wewe nani uwe imara kiimani kuwazidi hao watumishi wa Mungu?!
Tena kama mme na mke wote ni wanywaji basi tambua wote ni wazinzi, mbaya zaidi ukute mwanamke ni mpenda wine sana[emoji1430]
Hakuna mwanamke mwenye msimamo duniani, inategemeana na juhudi, uwezo na hali ya mtongozaji. Binafsi siku nikitaka kuoa nitamuomba Mungu sana anipatie Mwanamke asie mlevi.
Uzi tayari