Kama wewe ni Mpenzi wa mpira na unataka kutengeneza pesa bila kufanya betting basi fanya hivi

Seif Mselem

Senior Member
Joined
Oct 16, 2023
Posts
161
Reaction score
526
Tunasema…

Moja ya eco – system zenye PESA nyingi zaidi duniani basi ni pamoja na…

“MPIRA WA MIGUU”

A.K.A… SOKA!

Yaani…

Ukikaa sehemu yoyote ile ndani ya MCHEZO wa mpira wa miguu basi una nafasi kubwa ya kutengeneza pesa nyingi.

Ukitaka uwe mchezaji kama Dickson Job…PESA UTAPIGA!

Ukitaka uwe mchambuzi kama George Ambangile…PESA UTAPIGA!

Ukitaka uwe semaji kama Haji Manara…PESA UTAPIGA!

Ukitaka uwe wakala kama Shafii Dauda…PESA UTAPIGA!

Ukitaka uwe na media kama Azam…PESA UTAPIGA!

Na…

Hata ukitaka uwe SHABIKI kindaki ndaki kama mzee Mpili wa yanga still…PESA UTAPIGA!

Na…

Hii haijalishi upo sehemu gani hapa DUNIANI as long as uko kwenye SOKA basi pesa utapata.

Na…

Ukweli ni kwamba kama Ilivyo kwenye maeneo mengine…

Kutengeneza PESA huwa inachukua muda.

Na…

Kama ndio una anza basi huwa kuna changamoto sana, kwasababu unakuta tayari watu kama kina Baraka Mpenja wameshaweka mizizi yao.

Maana yake nafasi ya kufanyikiwa kwako pia kwenye hayo maeneo inakuwa ni ndogo.

Kwahiyo…

Kwenye nafasi hizo na zingine ambazo sijazitaja kufanikiwa kwake bado kunakuwa na changamoto kwasababu tayari kuna watu wako mbele yako.

LAKINI…

Isipokuwa sehemu moja hasa hasa kwenye soka la ki BONGO, na sehemu hiyo ni…

“PERSONAL COACHING”

Personal coaching kwenye MENTAL game na sio PHYSICAL game.

Yaani kuwa kama…

Wale makocha binafsi wa wachezaji, WANAOFUNDISHA mazoezi kuhusu MINDSET ya mchezaji tofauti na program za mazoezi ya timu.

Kama utakuwa unafuatilia wachezaji wa ULAYA utakuwa unaona huwa wana hizi program za kujifunza kuhusu MINDSET baada ya msimu kuisha.

Kitu ambacho kwa hapa BONGO bado sijakiona kabisa kikifanyika hasa hasa kwenye eneo la mpira wa miguu.

Kwahiyo…

Kama ukitaka kutengeneza CAREER kwenye mpira basi hilo eneo bado lina NAFASI nzuri sana ya kukufanya ufanikiwe.

Sasa una anzaje kwenye hii career mpya ya maisha yako?

Okay, angalia hapa…Kuna hizi HATUA 5 nimekuwekea za jinsi ya kuanza safari yako…

1). Anza kujifunza kitu kinaitwa…ATHLETIC MINDSET.

Kwanini?

Watu wengi huwa wanadhani kiwango cha mchezaji kinaposhuka huwa kinasababishwa na kutokufanya mazoezi vizuri au umri wake kwenda.

ILA…

Ukweli ni kwamba kuna wakati kiwango cha mchezaji huwa kinashuka kwasababu ya “MINDSET” yake mwenyewe.

Sio kwamba mtu anakuwa hafanyi mazoezi kwa bidii…HAPANA!

BALI…

Anakuwa na shida kwenye MENTAL game yake.

Ndio maana ni kawaida sana kwa wachezaji wengi wa KIBONGO kufanya mazoezi kwa bidii Ila inapokuja ligi asionyeshe PERFOMANCE nzuri.

Hii inatoakana na kwamba…

Kwenye mchezo wowote hapa duniani 20% huwa ni Physical Game na 80% huwa ni Mental Game.

Kwenye elite competition yoyote ile…

“Kinachocheza sio MWILI wako bali kinachocheza ni AKILI yako”

Ndio maana hata mwisho wa msimu Rodri wa MAN CITY alisema moja ya sababu Arsenal kupoteza ubingwa ni MENTALITY ya timu yao.

Ni…

Rahisi sana wote mkawa na uwezo na physique sawa ila msiwe na kiwango sawa mnapokuja uwanjani.

Ndio sababu…

Wachezaji kama kina Deli Ali, Sancho, Lingard n.k wana struggle sana licha ya kuwa na sifa za kichezaji.

Na…

Hii haijalishi upo kwenye Boxing, Tenesi, Basketball, Swimming, MMA au hata kwenye mchezo wa Rede still Mental Game ina nafasi kubwa sana ya mafanikio yako.

Kwahiyo…

Wewe kama mpenzi wa mpira kazi yako ni kwenda kujifunza hiki kitu na kuja kusaidia soka na wachezaji wa bongo.

Na…

Kwanini nadhani unaweza KUFANIKIWA kwenye hiki kitu?

Hilo ni swali nitakujibu mwishoni mwa makala hii.

Kwa sasahivi nenda katenge miezi 6 ya kujifunza, na kitabu kizuri cha kuanza nacho ni hiki kinaitwa…

“THE MINDFUL ATHLETE”

Kimeandikwa na aliyekuwa kocha wa MENTAL training wa Chicago Bulls na mtu aliye wafundisha kina Michael Jordan na Kobe Bryant kuhusu hizi ishu, anaitwa…

“GEORGE MUMFORD”

Kwenye kitabu chake…

Hapo utaenda kupata intro + vitabu vingine kibao vya MINDSET ya kichezaji ambavyo vitakuongoza kwenye safari yako.

Au…

Unaweza kuifuatilia hii account ya Instagram inaitwa… @_athletementality

Huyu jamaa anafanya kitu kama hiki.

Kwahiyo unaweza kwenda ku MODEL jinsi anavyofanya na kuchukua baadhia ya hints za kuanza nazo.

2). Wakati unajifunza taratibu fungua AKAUNTI yako kwenye mitandao ya kijamii.

Kwanini?

Hii ni kwaajili ya kuanza kuposti kila siku kwaajili ya kutengeneza AUDIENCE yako ndogo ambayo baadae ndio utaitumia kutengeneza pesa.

Na…

Uzuri wa mtandaoni ni kwamba huwa kuna mtu wa kila mtu kwahiyo kama unadhani hutapata watu wa kukusikiliza basi hilo wazo…FUTA!

Mtandaoni hata ukija na ukaanza kuongelea kitu kama UCHAWI still utapata watu wa kukusikiliza, na huo ndio uzuri wa…SOCIAL MEDIA.

Unachotakiwa ni kuposti contents kila siku.

A.K.A kuwa…CONSISTENCY!

Kwahiyo wakati unaendelea kujifunza…Wewe endelea kuposti japo mara 3 kwa siku.

Baada ya miezi sita unaweza kuwa na audience wako 500 – 1000 ambao sio mbaya kuanza nao.

3). Wakati unaendelea kujifunza, hakikisha unajifunza hivi vitu hapa pia…

Sales…

Persuasive Writing (Copywriting)…

Content Marketing…

Offer Creation (Kidogo)…

Public Speaking…

Kwanini?

(Unaweza kujiuliza)!

Ukweli ni kwamba mitandao ya kijamii ni CHANNELS tu ila kinachokupa matokeo ni uwezo wako wa kufikisha meseji.

A.K.A… UJUMBE!

Na…

Wewe kujifunza hiyo ATHLETIC MINDSET ni sawa na kusoma degree flani chuo ILA kitakachokupa mtatokeo na kukufanya ujulikane ni hizo aina za UJUZI nilizokutajia hapo.

Ndio maana inaweza kuwa watu wengi wamesoma maswala ya AFYA ila ni wachache wanaitumia kujiingizia kipato binafsi (Self Employment) kama kina…

Millambo, Mfalme, Bonge la Afya n.k

Na…

Hii ni kutokana na UJZUI huo niliokutajia hapo juu.

Wanajua kuandika, wanajua kuelezea wanachokifanya kwa kuongea na wanajua kuuza huduma zao.

Kwahiyo…

Hata wewe kujifunza aina hiyo ya UJUZI ni ili iweze kukusaidia kufika nchi ya ahadi.

Huo ujuzi hapo juu ni sawa na FIMBO ya Musa.

Na…

Mimi binafsi huwa na amini kwamba…

“The only way to buy TIME is to buy other people’s mistakes”

Yaani…

“Badala ya kutafuta njia ya kufika PEPONI mwenyewe ni bora kumtafuta mtu aliyefika akuoneshe pakupita”

Badala ya kusoma courses 10 za Copywriting ni bora umtafute Amosi Nyanda akufundishe.

Badala ya kusoma vitabu 100 vya Sales ni bora umtafute Seif Mselem akufundishe.

Na…

Badala ya kusoma tutorial 1000 za Content Marketing ni bora umtafute Khaled akufundishe.

Kwa uelewa wangu mdogo hiyo ndio njia ningekushauri ufanye na ndio nitaendelea kuifanya kwenye kujifunza kwangu.

Kwahiyo hapa uamuzi na wako.

Aidha ujifunze kwa kufuata hiyo SHORTCUT au ujifunze kwa kusoma mwenyewe which is both fine.

Sema tu njia ya pili itakuchukua muda mwingi na utafanya makosa mengi zaidi katika safari yako.

Na…

Kwa upande mwingine itakuwa ni kinyume chake.

Hiyo ni kwenye PROCESS nzima ya kujifunza.

4). Anza kufanya personal transformation yako binafsi.

Hakuna kitu kigumu kama kumshawishi mtu kama huna…

“BACKUP FACTS”

Yaani…

Kumsaidia mtu kupunguza UZITO wakati wewe mwenyewe kibonge.

Kumfundisha mtu kutengeneza PESA wakati wewe mwenyewe ni broke.

Kumfundisha mtu kuwa DISCIPLINED wakati wewe mwenyewe ni lazy.

Unahitaji backup facts ili uweze ku SUPPORT kile unacho kihubiri.

Na…

Njia rahisi ya ku support mahubiri yako ni KUFANANA na mahubiri yako.

Ni…

Kufanya PERSONAL Transformation.

Anza kujifunza na kufanya kuhusu ATHLETIC MINDSET kabla ya kuanza kuwafundisha watu.

Anza kufanya na kujifunza…

Jinsi ya kufanya meditation.

Jinsi ya kufanya visualization.

Jinsi ya kufanya self-talk.

Jinsi ya ku deal na POOR performance kwenye mpira.

Jinsi ya ku deal na STRESS kipindi mambo yanapokuwa hayaendi.

n.k

Jifunze na kufanya kila kitu ambacho utaenda KUANZA kukifundisha kwa wachezaji wako.

Just Imagine…

Unakuwa kama personal trainer wa Mhe. Kikwete na GSM, yule jamaa anaitwa…

“DENZEL TRAINER”

Yeye mwenyewe tu jinsi alivyo ni BACKUP FACT ya kukuaminisha kuwa anaweza kukusaidia.

Kwahiyo…

Kwa kufanya hiyo personal transformation yako tu inakuweka mstari wa mbele kwenda kuanza kupata wachezaji walioko serious kujifunza toka kwako.

5). Anza kutafuta connections za watu waliopo kwenye cycle ya mpira.

Ukweli ni kwamba unahitaji mtu ambaye atakusaidia kuwafikia wachezaji in a physical way.

Na…

Njia rahisi ya kutengeneza connections na watu hao ni kwa kufanya kitu kinaitwa…

“NETWORKING”

Na…

Ili uweze kufanya networking ni lazima ufike sehemu ambazo watu wa aina hiyo huwa wanapenda kufika.

Na…

Sehemu hizo ni sehemu zote ambazo huwa zina mikusanyko ya…

“KIMPIRA”

Kuanzia kwenye…

Press Conferences.

Kumbi za kuangalia mpira.

Viwanja vya mpira.

Events zote za mpira.

n.k

Sasa kwanini unahitaji watu kama hawa kwenye cycle yako?

Ukweli ni kwamba…

“Mteja mwingine rahisi zaidi kumpata kwenye biashara yako ni rafiki wa mteja wako.”

Na…

Hapa ni kwa kutumia njia inayoitwa…

“WORD OF MOUTH”

Wewe ukimwambia rafiki yako kuhusu mimi ni tofauti sana na mimi nikienda kujitambulisha moja kwa moja kwa rafiki yako.

Kwahiyo…

Kazi ya kutengeneza connections na hawa watu waliopo karibu na wateja wako (wachezaji) ni kwamba ili iwe rahisi kueleweka.

Social media ina nguvu sana ya kukufikisha sehemu ambazo hukutarajia kufika ILA ukweli ni kwamba ukitaka kufungua milango ya ma BOSS wenyewe kabisa basi unahitaji mkono uliyopo ndani ya ofisi.

Unawahitaji hawa wadau wa mpira ili uweze kuwafikia wachezaji wa mpira.

Na…

Ukweli ni kwamba hawa wadau wa mpira ni moja ya watu maarufu na wenye ratiba ngumu sana, kitu ambacho kinapelekea inakuwa ngumu ku connect nao hasa kwenye mikusanyiko ya watu wengi.

Kwahiyo…

Njia rahisi ambayo ningekushauri uifanye ili uweze kupata mawasiiano yao na first impression nzuri ni…

“Kujitoa ufahamu na kwenda kuwaambia au kuomba kile unachotaka kukiomba”

Na…

Unaweza kudhani hii ni moja ya njia ya KIJINGA na labda unahitaji TRICK flani matata ili uweze ku connect nao.

ILA…

Ukweli ni kwamba hii ndio njia pekee iliyomuwezesha rafiki yangu Fadhil ku connect na Kikeke kipindi tuko SUA.

Alichukua camera mbovu akajifanya mpiga picha kisha akapata nafasi ya kwenda mbele kufikisha ombi lake kwa Salim Kikeke.

Kwahiyo…

Usitake kuwa tricky sana bali jitoe ufahamu kisha NENDA direct kaeleze shida yako na kuomba unachotaka kukiomba.

Na…

Hiyo ndio njia rahisi ya ku CONNECT na watu walioko juu kwenye tasnia yako.

So,

Hizo ndizo baadhi ya hatua ambazo unaweza kuzitumia kuanza safari yako kama personal coach kwenye maswala mazima ya…

“ATHLETIC MINDSET”

Sasa kwanini nadhani unaweza kufanyikiwa kwenye hii CARREER yako mpya?

Angalia hapa…

i). Hiki ni moja ya kitu chenye MADHARA makubwa sana kwa wachezaji wengi.

Kwahiyo…

Kama ukiweza kuwaambia mchango wake kwenye mafanikio yao kisoka na ukawaonesha jinsi ya kuwasaidia basi kuna nafasi kubwa sana pia na wewe ukafanikiwa.

ii). Bongo kuna uhitaji mkubwa sana wa hiki kitu ila upatikanaji wake ndio haupo.

Ukweli ni kwamba…

Wachezaji wengi sana wanajua umuhimu wa MENTAL GAME ila shida ni hawajui wapi pa kujifunzia na kuifanya.

Tunasema…

“They know the WHAT but not the HOW”

Kwahiyo…

Ukiweza kujitokeza wewe kama mtu mwenye UWEZO wa ku deliver kwenye hiki kitu basi una chance kubwa ya kutengeneza BIG moolah.

iii). Wachezaji wengi wa PL wana PESA ya kulipia hiyo huduma.

Kuna msemo mmoja kwenye biashara huwa tunasema…

“Don’t sale to BROKE people”

Tunasema…

Ukitaka usifanyikiwe kwenye biashara basi UZA bidhaa au huduma zako kwa watu wasiokuwa na pesa.

Na…

Ukiangalia hiki kitu unachoenda kukikifanya kina sifa zote 4 za kuwa…

“GREAT MARKET”

Nikiwa na maanisha kuna…

MASSIVE PAIN…yaani wachezaji wengi wana maumivu ya kuwa na performance mbaya kwenye mechi za ligi.

PURCHASING POWER…yaani wachezaji wengi hasa wa PL wana pesa kutoka kwenye mishahara kwaajili ya kulipia program zako.

EASY TO TARGET…yaani wachezaji wengi pia wanapatikana kwenye mitandao ya kijamii kitu ambacho kinarahisisha kuwafikia.

Na…

GROWING…yaani soko la mpira linazidi kukuwa kila kukicha hasa kwa hapa bongo ukitofautisha na soko la bidhaa kama magazeti.

Kwahiyo ni…

Rahisi sana kufanikiwa kwenye SOKO lenye sifa zote hizi nne, kama lilivyo soko utakaloingia.

iv). Ni rahisi sana kufanyikiwa kama PRPGRAM zako zitakuwa zinaleta matokeo chanya.

Mpira ni mchezo wa wazi sana.

Kwahiyo…

Ukiweza kuboresha performance ya mchezaji X baada ya kupita kwenye program yako basi kuna nafasi utaenda kuwa…

“GOD LIKE PERSON”

Mtu ambaye tasnia nzima ya soka watakukubali na watataka wafanye kazi na wewe.

Hapa mchawi ni kuletea positive PERFORMANCE tu kwa wachezaji utakao anza kufanya nao kazi.

v). Watu wengi pia ambao sio wachezaji bado hawakijui hiki kitu.

Hii inakupa nafasi ya kuwa na WASHINDANI wachache kwenye kile utakachoenda kukifanya.

Na…

Ukitaka kuamini hii point nenda kwenye banda umiza na magenge ya mpira halafu useme…

“Poor performance ya Aziz Ki imetokana na Mental game yake kuwa mbovu”

Hapo ndipo utaelewa na maanisha nini nikisema bado watu wengi pia hawakijui hiki kitu.

Na…

Hata kama itakuwa wamewahi kusikia STILL na amini hawajui kinafanyikaje.

Kwahiyo…

Hii inakupa faida ya muhimu kabisa kwenye biashara ambayo ni…

“Kuwa wa KWANZA sokoni”

Na…

Hizo ndizo sababu chache za msingi ambazo na amini zitakufanya ufanyikiwe kwenye kile utakachoenda kuanza kukifanya.

So,

THAT’S ALL FOR TODAY GUYS!

I hope huu ujumbe kuna MTU unamsaidia huko nje.

Nikutakie siku njema Champ. STAY SAFE!

By the way…

Kabla hujaondoka naomba unisaidie kufanya hivi vitu viwili tu hapa samahani…

i). Naomba umu TAG rafiki yako yoyote ambaye UNGEPENDA aone makala hii na unajua kabisa ingemsaidia kwa namna moja ama nyingine kwenye kitu anachokifanya.

Na…

ii). Vile vile kama umeipenda makala hii na unaona pia na STAHILI kupata attention yako next time basi naomba uni follow pia.

Thanks for your time, Buddy✊

Shukwani kwa Mahmudu Said kwa kusoma na kupitia makala hii.

Seif Mselem
 
Mkuu andika andiko kama hili kuhusu kupiga hela kupitia betting nahisi viko vya kujifunza nitapata
 
Hapa ni kumtafuta jonh bocco, kumfeed hiki, kumpa mtaji kufungua ofisi sinza. Zoezi linaanza. Simple kabsssa
 
Bora nibet sina uvumilivu wa kusoma gazeti
 
Niwe mkweli tu sijaweza kusoma hii kitu yote mpaka mwisho hasa nikikumbuka nadaiwa kodi ya pango bado sijamaliza kulipa ada ya mwanangu niliyezaaga na housegirl wa home mbaya zaidi msimu huu umekuwa mbovu biashara zimenigomea sana mpaka natamani niachane na biashara hii ya majeneza nitafute mishe zingine hata nianzishe Kanisa nasikia makanisa haya ya kiroho yanalipa..
Na sidhani kama kuna mtu amesoma mpaka mwisho!
 
Style ya Uandishi imenichosha, nimeishia kati. Labda ingewekwa kivipande vipande
 
Ulianza vizuri kwa uandishi wa kuvutia, lakini kadri unavyoendelea kusoma inazidi kuboa, mbaya zaidi maelezo marefu.

Aargh!!, tusichoshane soma mwenyewe
 
Back
Top Bottom