madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
Magangwe si hizi ndio wasela
😂😂😂Utabana Ngenge!! Ilikua kama mkwala flani hivi (utakoma)
Tuambiane pia hizo ni swaga za mkoa au kijiji gani?Utabana Ngenge!! Ilikua kama mkwala flani hivi (utakoma)
Lol! Kwakweli mie ni wa Bon-town wa hapahapa Bongo, so nilikua nausikia msemo huo hapahapa Dar.Tuambiane pia hizo ni swaga za mkoa au kijiji gani?
Tuambiane pia hizo ni swaga za mkoa au kijiji gani?
Mimi situpii msemao bali wale wahenga watanielewa.Mfano :mambo vp dole halina ukucha
Makalio :wowowo
Shilingi tano :dala
Acha niwaachie na wahenga wenzangu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]jamaa kagwaya.. kaogopaTuambiane pia hizo ni swaga za mkoa au kijiji gani?