Kama wewe ni Mwana Technologia una Maoni gani kuhusu Piman Tv App

Kama wewe ni Mwana Technologia una Maoni gani kuhusu Piman Tv App

Ni mawazo mazuri sana na hasa kuona ni vijana wetu wa hapa Tanzania
 
Nimejaribu MBC2 NA MBC ACTION inaload tu au kwakuwa nipo nchi za watu tena ambazo hazijaendelea?
 
punguza quarity ya picha ili ulaji wa mb uwe mdogo
 
Back
Top Bottom