Mr Jacob Member Joined Dec 23, 2019 Posts 5 Reaction score 4 Nov 14, 2020 #1 App ya Piman tv max inapatikana Playstore kwa kusearch neno Piman tv, Lakini App hii Haijazinduliwa hivyo tumei publish playstore kwenye kipengele cha Development. Karibu kwa Ushauri wako wewe mdau wa Technology View attachment 1626199
App ya Piman tv max inapatikana Playstore kwa kusearch neno Piman tv, Lakini App hii Haijazinduliwa hivyo tumei publish playstore kwenye kipengele cha Development. Karibu kwa Ushauri wako wewe mdau wa Technology View attachment 1626199
Wiwachu JF-Expert Member Joined Nov 13, 2018 Posts 809 Reaction score 924 Nov 16, 2020 #2 Mkuu mimi ni mtumiaji wa hizi app tv ngoja nikaichk narudi kutoa maoni yangu niliyoyaona
Mr Jacob Member Joined Dec 23, 2019 Posts 5 Reaction score 4 Nov 16, 2020 Thread starter #3 Wiwachu said: Mkuu mimi ni mtumiaji wa hizi app tv ngoja nikaichk narudi kutoa maoni yangu niliyoyaona Click to expand... welcome
Wiwachu said: Mkuu mimi ni mtumiaji wa hizi app tv ngoja nikaichk narudi kutoa maoni yangu niliyoyaona Click to expand... welcome
Baheshi New Member Joined Nov 14, 2020 Posts 2 Reaction score 0 Nov 16, 2020 #4 Ni mawazo mazuri sana na hasa kuona ni vijana wetu wa hapa Tanzania
Mr Jacob Member Joined Dec 23, 2019 Posts 5 Reaction score 4 Nov 16, 2020 Thread starter #5 Baheshi said: Ni mawazo mazuri sana na hasa kuona ni vijana wetu wa hapa Tanzania Click to expand... Asante sana kwa mchango chanya.
Baheshi said: Ni mawazo mazuri sana na hasa kuona ni vijana wetu wa hapa Tanzania Click to expand... Asante sana kwa mchango chanya.
venance7 JF-Expert Member Joined May 15, 2019 Posts 558 Reaction score 1,645 Nov 17, 2020 #6 Ongezeni chaneli tena ziwe hd itapendeza zaidi,
cliff mkinga Senior Member Joined Aug 29, 2013 Posts 107 Reaction score 83 Nov 17, 2020 #7 Naona channel nyingi za Afrika mashariki hazionyeshi
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Nov 17, 2020 #8 Nimejaribu MBC2 NA MBC ACTION inaload tu au kwakuwa nipo nchi za watu tena ambazo hazijaendelea?
Mr Jacob Member Joined Dec 23, 2019 Posts 5 Reaction score 4 Nov 24, 2020 Thread starter #9 cliff mkinga said: Naona channel nyingi za Afrika mashariki hazionyeshi Click to expand... Tumefanya Update Leo Channels Zote zinaonesha na tunazidi kuongeza zaidi
cliff mkinga said: Naona channel nyingi za Afrika mashariki hazionyeshi Click to expand... Tumefanya Update Leo Channels Zote zinaonesha na tunazidi kuongeza zaidi
Mr Jacob Member Joined Dec 23, 2019 Posts 5 Reaction score 4 Nov 24, 2020 Thread starter #10 nguvu said: Nimejaribu MBC2 NA MBC ACTION inaload tu au kwakuwa nipo nchi za watu tena ambazo hazijaendelea? Click to expand... Tume Fix tayari. na tumeongeza FILMRISE moja ya Channel kubwa duniani kwa kutazama Movies Kali.
nguvu said: Nimejaribu MBC2 NA MBC ACTION inaload tu au kwakuwa nipo nchi za watu tena ambazo hazijaendelea? Click to expand... Tume Fix tayari. na tumeongeza FILMRISE moja ya Channel kubwa duniani kwa kutazama Movies Kali.
Ghiti Milimo JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 4,748 Reaction score 7,061 Dec 22, 2020 #11 Hongereni sana!
Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 667 Reaction score 183 Feb 24, 2021 #12 punguza quarity ya picha ili ulaji wa mb uwe mdogo