Mlima meru
Senior Member
- Dec 30, 2012
- 114
- 20
Nina nafasi mbili za complimentary za kupanda mlima meru wiki ya pili ya mwezi wa nne (100% free)
Napenda kama kuna msichana adventure ambaye anapenda kupanda/ kujaribu anijulishe tujumuike;
Sifa:
· Awe single
· Umri kuanzia miaka 30 hadi 34 na asiwe na mtoto
· Awe anamuamini mungu preferably Islam
· Awe amesoma vizuri au mfanya biashara (anayejitegemea)
· Awe mzuri na akiwa bantu figure will be prefered
· Awe anaishi/anafanya kazi maeneo ya karibu na mlima meru (Arusha?)
Kumbuka, kwa mgeni (wa nje ya nchi) kupanda mlima meru analipa kati ya $800 na $1200
Mimi kupanda huo mlima sio mara ya kwanza; ILA siku hiyo nitakuwa na wageni (wa nje ya nchi) hivyo nitakuwa nawapa company hivyo...nimejaribu kuweka sifa ili angalau...kuleta taswira ya aina flani.
Kama una meet vigezo naomba uni pm