Kama wewe ni mwanaume mpole, usioe mwanamke wa Pwani

Drone Camera

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
14,041
Reaction score
13,907
Salute Wakuu;
Poleni na huyu mdudu #coronavirus.Hili nalo litapita tu.Let's be optimistic and hope for the best.

Sisi wanaume wa huku bara bara sana huwa tunasikia sifa za hawa wanawake wa ukanda wa Pwani,kwamba ni wazuri,wanajua kupika,wanajua mapenzi,you name it.Kuna ukweli hapa,si kwamba wanasingiziwa.Ila hapa naweza tumia ule msemo wa "when the deal is too good,think twice"

Upande wa ndoa hawa wanawake ni pasua kichwa bhana!!! Japo si wote,ila kutokana na haya niliyoshuhudia nadiriki kusema kuwa wengi wao hawapo stable na ndoa zao.
Kama wewe ni mwanaume mpole na una nia ya kuoa mwanamke wa huko,basi muombe Mola akupe chaguo jema.Sawa ni kawaida kwa mwanaume kuomba kabla hajaingia katika ndoa,ila wewe omba sana rafiki.

Kuna case kama mbili hivi nimezishuhudia.Ntazieleza kwa kina hapa chini:

Case #1;
Huyu ni jamaa yangu toka muda ni kijana mpole.Huko nyuma alinambia nia yake yake ya kuvuta chombo toka mpaka wa bahari ya Hindi. Mi nikamuambia poa,popote kambi mzee.Mambo yakajipa,akavuta chombo.

Mwanzo mambo yalikuwa poa sana,jamaa full mizuka tu.Ila baadaye jamaa uchumi ukashuka kidogo na mambo yakaanzia hapo sasa.Nakumbuka kuna asubuhi nilimdamkia jamaa ili twende sehemu fulani.Sikumkuta shemu,ila nikamkuta dogo fulani hivi.Sasa mdau akamwambia dogo kuwa amwambie shemu kuwa atarudi kabla ya lunch time,so akamwachia dogo hela ya break fast.

Basi tukaondoka.Ila ile tunavuka lami tu tukasikia honi.Kucheki nani kakoswa koswa ni shemu bhana!! Basi kaja pale "Nipe hela,nipe".Jamaa akasema ameshaacha hela." Ile ni hela? Huwezi kuhonga mtu kama mm hicho kijipesa leta hela we kidume" , "Lakini mke wangu si nimesema ntarudi before noon, nimekuachia ya asubuhi" basi shem katukana pale watu wakaanza kujaa.

Nikasema isiwe soo wacha nimpe backup msela wangu. "Ona sasa mpaka usaidiwe,hujui hata bei ya chupi yangu,ila kuivua unaleta kimbelembele.Sijui hata huko town unaendaga kufanya nn si ukacheze bao hadi jioni nijue nina mzigo". Nikaona jamaa anaanza kufura hivi.Ikabidi tumuondoe eneo la tukio.Kesho yake sasa nikasikia mdau yupo lock up.

Tukajichanga tukaenda kumtoa sababu kila mtu alihisi aibu ile.Ila jamaa akanambia " Yaani Drone ungeniona jana usiku usingeamini ni Mimi".Nikawa nimemwelewa😆😆.Ila baadaye kaachana na yule demu.Sahivi ana mwingine ila wametulia na hii #covid19.

Case #2;
Huyu naye ni jamaa yangu pia.Huyu hakuniambia ila nilishtukia ashavuta jiko ndani,nikasema fresh.Sasa huyu alimkuta demu wake anachepuka.Kamshika mchepuko,alikuwa tozi fulani hivi mdogomdogo.Kampa mabanzi mawili unfortunately akamponyoka,ikawa bahati yake,akamrudia mke.Demu analia lia tu.Akaamua aende nae home kiupole upole.Hakumpiga,kufika gengeni kwenye watu wengi demu kachachamaa."Niache mjinga wewe" ...jamaa haelewi nini kimetokea.

Demu akaendelea"We ukichepuka hakuna anayekusumbua,unadhani sjui? Naelewa sana... Halafu huwezi nipelekesha nishafuga wengi kama wewe.Wewe mwnyw nakufuga hapo ulipo".."Asha mimi unanifuga?" , "Ndio wewe,Tena...." Kabla hajamaliza jamaa Kampa kipondo.Dem kazirai.Jamaa nae selo.Akatoka baadaye.

Wanawake wa Pwani nawaelewa ila kwenye ndoa ninyi ni pasua kichwa hamna mpinzani.
Chukua Tahadhari.
StaySafe.
 
Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi
kuosha mikono kwa maji safi na
sabuni mara kwa mara na kwa siku
chache hizi jaribu kutulia nyumbani
kuepusha maambukizi ya
#CORONAVIRUS
 
Wanawake/wanaume full package wapo kutokana na vigezo vya mhusika. Ndoa sio universal kila mtu anataka package tofauti.
Hakuna aliye perfect kwa kila kitu lazima kuna kitu /vitu vitakasoro wakati mmeshwekana ndani na hapo ndo inapohitajika hekima na uvumilivu bila hivyo hamtadumu.

BTW wakati unamuona kuwa yupo full package je na wewe upo full package kwa vigezo vyake?? Jibu ni kuwa sio rahisi mka match, muhimu kuvumiliana madhaifu yenu.
 
Kweli...ila tabia ya mtu sometimes inadepend na alipokulia.
 
Aisee niliezaa nae alikuwa ni shida. Akianza kuongea taratibu nilikuwa nanyanyuka naenda zangu Bar mpaka mida mibovu maana ilikua nikbaki ili anyamaze ni lazima nimzibue makofi tena kwa taadhari kubwa sana maana ilikuwa akichomoka hapo kama kuna chupa, sufuria au chochote lazima anirushie.

Mara ya mwisho nilimuona kituko baada ya kuzinguana nae njiani akaanza kuokota mawe na kunirushia alafu watu kibao. Daah nilisikia aibu sana ila nikasepa kimya kimya.

Acha sasa hivi nitulie nimtafute manka ambae kashapigika na maisha ndio nivute ndani ingawa ndugu wasiojua historia yetu wananishawishi sana nirudiane nae maana wananiona kama umri unasonga na bado nipo single
 
😀😀
 
😂😂😂😂 Huyo alikuwa kiboko
 
Pole sana boss...huyo wako alikuwa na changamoto ya aina yake😅😅
 
Back
Top Bottom