Kama Wewe Nikijana Na Unandoto Zakutoboa Pita Na Hii...!!!

Sema wabongo kwa majungu na negativity hatujambo ....watu uzi mzima wameona bei tu as if saa zote zinafanana bei.
Wew piah umeelewa Mkuu, nasio lazm aagize izo smart watch anaweza agiza nguo viatu simu airport n.k so unaweza chukua content meng ukaacha
 
Hizi saa unapata hata kwa 30,000/-. Wadanganye wanunue sijui China zije ziwadodee.
 
Kuna baadhi ya mambo ukitaka kupresent inatakiwa uwe na taarifa za kutosha, makadirio mengi aliyoyasema hayana uhalisia
Yuko sahihi kwenye makadirio ya bei ya manunuzi na gharama za usafiri Ila Nina mashaka kwenye hiyo bei aliyouzia bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…