wejja
Senior Member
- Nov 1, 2011
- 126
- 16
wadau kuna suala moja linalonitatiza tangu
nimejiunga hapa chuoni,, NAOMBA MSAADA
WENU TAFADHALI.
Ni kuhusu neno DARUSO (kifupisho cha serikali
ya wanafunzi chuo kikuu cha Dar es salaam)
ambalo kirefu chake ni DAR es salaam
University Students Organisation (hapa herufi
kubwa ndizo zinaunda neno hili daruso)
Kwa maoni yangu hili neno DARUSO halitakiwi
kabisa kusimama kama kifupisho cha serikali ya
wanafunzi ya chuo hiki. Badala yake litumike
neno UDSO au UDARSO (kama halijatumika na
chuo kikuu kingine)
KWANINI??
Sababu ni kuwa jina la chuo chetu ni Chuo
Kikuu cha Dar es salaam (University of Dar es
salaam) na siyo Chuo Kikuu Dar es Salaam
(Dar es salaam University).
Kwa maoni yangu, katika kuform hiyo Acronym
kwa ajili ya "Students' Organisation" ya
"University of Dar es salaam" walitakiwa
waanze na neno "University of Dar es salaam"
halafu wakamalizia na neno "Students'
Organisation" na hivyo kupata kifupisho UDSO
(UDARSO).
Hivyo kifupisho stahiki cha serikali ya wanafunzi
ya chuo kikuu cha Dar es Salaam ni UDSO
(UDARSO) badala ya DARUSO.
Kutumia neno DARUSO kwangu ni kumaanisha
serikali ya wanafunzi ya chuo kingine tofauti na
UDSM. Daruso simply stands for Dar es salaam
University Students' Organisation, ambapo chuo
chetu hakiitwi Dar es salaam University (Chuo
kikuu Dar es salaam) bali kinaitwa "University
of Dares salaam" (Chuo Kikuu cha Dar es
salaam).
Hivyo wataalamu wa lugha hasa kiingereza
naombeni tuungane kujadili hili suala kwa
kutumia utaalam wetu wa lugha.
Ahsanteni sana!!
Ni mimi Wejja.