Kama wewe ungekuwa Mwalimu wa mafunzo Jeshi la Polisi ungemfanya nini

Bora umzibue tu aliyetekwa ilo umpate jambazo wako,hahaaa
 
Kama Askari wa Tanzania wala sishangai 🤣🤣
 
Huyu hakuelewa swali, ndio maana amelijibu kwa kujiamini akiamini amelielewa swali.. Coz kwa accuracy hiyo ya shooting angeelewa swali bado angefanya vizuri( Kiufupi hakueleweshwa yupi ni yupi, lakini shabaha anayo)
Nafikiri Alitakiwa alenge hayo maduara 4 ya kijivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…