poleeee kwa yalio kutokeaaa yani umeletaaa msg kama ilivyoo....ilaa waswahili wanasemaaa wako akiwa kwako?saa kama unalala nae pigaa kimyaanamaliza kukosea msg hiyo ...then anakwambia dear tukalale...ana kuhug....ndomana watu wanaua mmmhh
Umekaa na mpenzi wako sebuleni mmepumzika usiku...gafla unamuona anachart na hauna tym naye kwa anachokifanya gafla unasikia mlio wa msg kwenye simu yako,Unafungua msg na kusoma unakuta imetoka kwake-
ikisema
"AS i tld we were not serious,am urz u dont av 2 wor,ningekuwa nakudanganya ucngeweza niona tena kwa yaliyotokea.NAKUPENDA"
lakini bila kugundua amekosea namba anaendelea kuchart tu.UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA NINI.
No real luv this day man.[/QU i strongly disagree jamani. Yapo bado. Sema 2 its really hard to find it.
kutokupokea simu haisaidii, mwambie uliyayaona, maana yeye hajui yanayokukutadah yani mapenzi hayana maana...muda si mrefu kapga simu kwa kweli cjapokea zaidi ya Mara 11 anapga sipkei...bdo natafakar uamuzi upi wa kuamua