Kama Yalivyo Mafuta ya Total Kuongoza Kwa Ubora, Pia Vilainishi vya Total Vinaongoza Kwa Ubora, Vinadumisha Injini

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Madereva wa Tanzania, Wahimizwa Kutumia Vilainishi Vyenye Ubora, ili Magari yao Yadumu Zaidi na Zaidi

Kampuni ya mafuta ya Total, ambayo ndio kampuni inayoongoza kwenye uuzaji na usambazaji wa mafuta na vilainishi nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka 50, wamehimizwa kutumia vilainishi vyenye ubora ili injini za magari yao zidumu kwa muda mrefu.

Wito huo, umetoleo leo na Mkurugenzi Mkuu wa Total Tanzania Bw. Jean-Francois Schoepp wakati wa ziara maalum ya wateja wakubwa wa vilanishi vya magari vya Totali, kutembelea kiwanda cha vilanishi cha Total, ili kujionea, vilainishi hivyo, vinavyotengenezwa, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja ya Total, inayoendelea kwa wiki nzima hii.

Bw. Jean-Francois Schoepp, amesema, injini za magari zinachakaa upesi na kuchoka mapema, kutokana na madereva kutumia vilainishi vyenye ubora hafifu, ukitumia vilanisha vyenye ubora wa juu kama vilainishi vya Total, hata muda wa kufanya servise za mara kwa mara, unapungua.

1. Mkurugenzi wa Total Bw. Jean-Francois Schoepp

2. Anam Mwemutsi, - Specialities Manager

3. Marsha Kileo Msuya- Mkurugenzi wa Sheria na Mahusiano

4. Mteja-Eng. Haniwick Kalenge wa Tanga Cement

5. Bi Tabu Mkama wa CMC

Wiki hii inaadhimishwa kwa wiki nzima katika vituo vyote za Total zaidi ya vituo 100 nchi nzima.

Total Tanzania ni kampuni ya Mafuta ya petroli iliingia nchini Tanzania tangu mwaka1969. Biashara ya Total Tanzania inalenga katika kutoa huduma za usambazaji na uuzaji wa mafuta ya petroli, dizeli vilainishi na bidhaa za mafuta, ambayo ni kuuzwa katika vituo mbalimbali vya mafuta
Total Customer Week Blending Plant Visit- Photo 1.jpg

Meneja Speciality wa Total Tanzania Bw. Anam Mwemutsi, , akihojiwa na waandishi wa habari, katika ziara ya wateja wa Total kutembelea kiwanda cha vilainishi cha Total, kilichoko Mandela Rod, Temeke Vetenari, kujionea uzalishaji wa vilainishi vya Total, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020. Kushoto Meneja Biashara wa kiwanda hicho, Amri Khamis, na kulia ni Meneja Uendeshaji, Lameck Mose. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja, ni mshirika”. Maadhimisho hayo yanaadhinishwa kwa wiki nzima kwa shughuli mbalimbali.
Total Customer Week Blending Plant Visit- Photo 2.jpg

Total Customer Week Blending Plant Visit- Photo 3.jpg

Meneja Uzalishaji wa Total Tanzania Bw. Yusuph Giriadii, akitembeza wateja katika ziara ya kutembelea kiwanda cha vilainishi cha Total, kilichoko Mandela Rod, Temeke Vetenari, jijini Dar es Salaam ili kujionea uzalishaji wa vilainishi vya Total, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja, ni mshirika”. Maadhimisho hayo yanaadhinishwa kwa wiki nzima kwa shughuli mbalimbali
Total Customer Week Blending Plant Visit- Photo 4.jpg

Wateja wa bidhaa za vilainishi vya Total wakiangalia uzalishaji wa bidhaa hizo, walipofanya ziara ya kutembelea kiwanda cha vilainishi cha Total, kilichoko Mandela Rod, Temeke Vetenari, jijini Dar es Salaam ili kujionea uzalishaji wa vilainishi vya Total, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja, ni mshirika”. Maadhimisho hayo yanaadhinishwa kwa wiki nzima kwa shughuli mbalimbali.

Total Customer Week Blending Plant Visit- Photo 5.jpg

Wateja wa bidhaa za vilainishi vya Total wakiangalia uzalishaji wa bidhaa hizo, walipofanya ziara ya kutembelea kiwanda cha vilainishi cha Total, kilichoko Mandela Rod, Temeke Vetenari, jijini Dar es Salaam ili kujionea uzalishaji wa vilainishi vya Total, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja, ni mshirika”. Maadhimisho hayo yanaadhinishwa kwa wiki nzima kwa shughuli mbalimbali.
Total Customer Week Blending Plant Visit- Photo 6.jpg

Wateja wa bidhaa za vilainishi vya Total wakiangalia uzalishaji wa bidhaa hizo, walipofanya ziara ya kutembelea kiwanda cha vilainishi cha Total, kilichoko Mandela Rod, Temeke Vetenari, jijini Dar es Salaam ili kujionea uzalishaji wa vilainishi vya Total, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja, ni mshirika”. Maadhimisho hayo yanaadhinishwa kwa wiki nzima kwa shughuli mbalimbali.

Total Customer Week Blending Plant Visit- Photo 7.jpg

Wateja wa bidhaa za vilainishi vya Total wakiangalia uzalishaji wa bidhaa hizo, walipofanya ziara ya kutembelea kiwanda cha vilainishi cha Total, kilichoko Mandela Rod, Temeke Vetenari, jijini Dar es Salaam ili kujionea uzalishaji wa vilainishi vya Total, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja, ni mshirika”. Maadhimisho hayo yanaadhinishwa kwa wiki nzima kwa shughuli mbalimbali.

Total Customer Week Blending Plant Visit- Photo 8.jpg

Mtaalam wa uzalishaji wa kiwanda cha vilainishi cha Total, kilichoko Mandela Rod, Temeke Vetenari, jijini Dar es Salaam akionyesha uzalishaji wa vilainishi vya Total, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja, ni mshirika”. Maadhimisho hayo yanaadhinishwa kwa wiki nzima kwa shughuli mbalimbali.
Total Customer Week Blending Plant Visit- Photo 9.jpg

Wateja wa bidhaa za vilainishi vya Total katika picha ya pamoja baada ya ziara ya kutembelea kiwanda cha vilainishi cha Total, kilichoko Mandela Rod, Temeke Vetenari, jijini Dar es Salaam ili kujionea uzalishaji wa vilainishi vya Total, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja, ni mshirika”. Maadhimisho hayo yanaadhinishwa kwa wiki nzima kwa shughuli mbalimbali.
Total Customer Week Blending Plant Visit- Photo 10.jpg

Wateja wa bidhaa za vilainishi vya Total katika picha ya pamoja baada ya ziara ya kutembelea kiwanda cha vilainishi cha Total, kilichoko Mandela Rod, Temeke Vetenari, jijini Dar es Salaam ili kujionea uzalishaji wa vilainishi vya Total, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho wiki ya huduma kwa wateja ya Total kwa mwaka huu wa 2020. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Kwa Total, mteja ni zaidi ya mteja, ni mshirika”. Maadhimisho hayo yanaadhinishwa kwa wiki nzima kwa shughuli mbalimbali.

Paskali
 
"News is something that someone somewhere does not want it published. Everything else is Public Relations." ~ Unknown.
 
Back
Top Bottom