Kama Yanga haikualikwa basi ni kweli TFF ina chuki/mgogoro dhidi ya Yanga

Taarifa zilizopo TFF alipewa nafasi 12 za kualika vilabu wanachama yeye akaamua kufanya uhuni kashindwa kuwaalika Kagera Sugar, Tanzania Prison, Polisi Tanzania, Ruvu Shooting, Geita n.k yeye kawaalika anaowabeba mgongoni.
 
Tatizo lipo kwa Waziri wa Michezo anamakengeza katika kusimamia soka nchini yeye ni Simba lialia ndio maana hana cha kuwafanya TFF.
Huyo waziri hana tatizo lolote mmejaza mavi vichwani kila jambo akiwepo simba na nyie muwepo bora angelalamika namungo na point yake moja na nafasi yake ya 56 rank za afrika na sio nyie mliokusanya point 0.5 miaka 5 halafu mnajiita klabu kubwa
 
Naomba unitag ukijibiwa
 
senzo ni brand kubwa Africa, kiufupi Senzo ni mkubwa kuliko Yanga.

Let’s be fair kweli unaweza kumualika mtu kama Manara mule ndani? Vipi ikitokea amtukane Rais wa FIfA dunian hiyo aibu Taifa tutaiweka wapi?
Kwani umeambiwa na nani kuwa walitaka wamualike Manara?
 
Huyo waziri hana tatizo lolote mmejaza mavi vichwani kila jambo akiwepo simba na nyie muwepo bora angelalamika namungo na point yake moja na nafasi yake ya 56 rank za afrika na sio nyie mliokusanya point 0.5 miaka 5 halafu mnajiita klabu kubwa
Simba amechukua kombe lipi la CUF sababu mafanikio kwenye mpira ni makombe na sio kitu kingine
 
Wakikujibu nitag.
 
Ameweka kituko aliposema jengo la yanga lilitumika kufanya vikao vya Siri kuwapumbaza wakoloni wakati jengo lao limejengwa Kwa msaada wa karume baada ya nchi kupata uhuru
Hutakiwi kuongea usichokijua. Jengo la Yanga linalotajwa si hili la Twiga na Swahili street. Jengo la Yanga kabla ya Uhuru lipo mpaka Leo uliza wazee wako watakwambia liko wapi?
 
Yanga ingealikwa kama timu iliyotoa mchango mkubwa kwa ukombozi wa Afrika kusini. Nasimama na manara kuhusu wenye akili huko yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…