Kama Yanga haikualikwa basi ni kweli TFF ina chuki/mgogoro dhidi ya Yanga

Naomba kipande cha video cha hii,
"Tanzania is my home, Tanzania is his home (akimshika bega Gianni Infantino Rais wa FIFA), Tanzania is home of alla of us! Very special country! Very special history".
 
Naunga mkono hoja...
 
Akikujibu niite mbwa nmekaa pale
 
Taarifa zilizopo TFF alipewa nafasi 12 za kualika vilabu wanachama yeye akaamua kufanya uhuni kashindwa kuwaalika Kagera Sugar, Tanzania Prison, Polisi Tanzania, Ruvu Shooting, Geita n.k yeye kawaalika anaowabeba mgongoni.
Wacha longolongo mwaka jana CEO wa Simba aliudhuria mkutano kama huu kule Accra Ghana....Je ni TFF alimualika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…