Kama Yanga SC mpinzani mkubwa wa Simba SC anakimbia mechi, Simba itakuwa bora kwa kushindana na timu gani nyingine Tanzania?

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Wakuu Salaam!

Najiuliza kama hawa wapiga kelele wanakimbia taifa hawataki kucheza na Simba angalau tupate mazoezi kabla ya kwenda bondeni, au wakijitutumua kuingiza timu uwanjani tunawapiga mpaka goli nne, wakijitahidi sana labda wapate sare

Najiuliza ni timu gani nyingine iliyobaki hapa Tanzania yakushindana na Simba SC ili kuifanya Simba iwe competitive zaidi kimataifa?

Yanga wamekuwa dhaifu kiasi kwamba sasa wamebaki kufurahia kila wakiona Simba imefungwa na timu nyingine, kwani wao walishapoteza uwezo wa kuifunga Simba SC siku nyingi sana.
 
Yanga wanachekesha leo hii wamesahau ubovu wa litimu lao wako bize kuijadili simba mara ooh ni underdog mara hawana timu halafu wao wakiminywa pumbu na timu za ligi kuu wanaanza kulia wanahujumiwa.
 
Simba ya jana!😄😄😄
View attachment 1786303
View attachment 1786568
20210515211437.jpg
 
Wakuu Salaam!

Najiuliza kama hawa wapiga kelele wanakimbia taifa hawataki kucheza na Simba angalau tupate mazoezi kabla ya kwenda bondeni, au wakijitutumua kuingiza timu uwanjani tunawapiga mpaka goli nne, wakijitahidi sana labda wapate sare

Najiuliza ni timu gani nyingine iliyobaki hapa Tanzania yakushindana na Simba SC ili kuifanya Simba iwe competitive zaidi kimataifa?

Yanga wamekuwa dhaifu kiasi kwamba sasa wamebaki kufurahia kila wakiona Simba imefungwa na timu nyingine, kwani wao walishapoteza uwezo wa kuifunga Simba SC siku nyingi sana.
Kwani Yanga waliwashika miguu,mbona hamjacheza na Coast,nyie wenyewe wapuuzi mnajitengenezea viporo kila siku kwa kuhairisha mechi,pambana na AMAPIANO lako.

Halafu kuimba kupokezana,mbona nyie kipindi kile cha Manji mlikuwa mnafanya hivyo hivyo mpaka Manara anawahamasisha muiombee mabaya Yanga.Mkaingia mechi ya Mazembe bure na mkaimshangilia TP Mazembe,sasa Yanga akifanya kama nyinyi mlivyo fanya huko nyuma kuna ubaya gani.
 
Baada ya kula 4g mmehamia kwa young African sasa
Sijui Yanga wamewafanyia nini kibaya Simba. Mpira ndivyo ulivyo wakubaliane na kilichowapata wajipange upya nafasi bado wanayo mbona. Si kwa mkapa hatokagi mtu?
 
Tena bado hapa kwa Mkapa, mtapigwa 5G..
Kaizer Chief endeleeni kunipa raha
 
Sijui Yanga wamewafanyia nini kibaya Simba. Mpira ndivyo ulivyo wakubaliane na kilichowapata wajipange upya nafasi bado wanayo mbona. Si kwa mkapa hatokagi mtu?
Kitakacho wakuta Simba kwa mkapa hawatoamini
 
Yanga kipigo hakikimbiliki,tabu ipo palepale.
Ilikuwa muanze na 3G pale kwa Mkapa, kabla ya kwenda kupokea 4G yenu kwa Kaizer Chiefs! Mumshukuru Bashungwa na mwananchama mwenzenu Wallace Karia kwa kutaka kuwatoa Wananchi mchezoni.
 
Wakuu Salaam!

Najiuliza kama hawa wapiga kelele wanakimbia taifa hawataki kucheza na Simba angalau tupate mazoezi kabla ya kwenda bondeni, au wakijitutumua kuingiza timu uwanjani tunawapiga mpaka goli nne, wakijitahidi sana labda wapate sare

Najiuliza ni timu gani nyingine iliyobaki hapa Tanzania yakushindana na Simba SC ili kuifanya Simba iwe competitive zaidi kimataifa?

Yanga wamekuwa dhaifu kiasi kwamba sasa wamebaki kufurahia kila wakiona Simba imefungwa na timu nyingine, kwani wao walishapoteza uwezo wa kuifunga Simba SC siku nyingi sana.
Kwanini msiwacheki Tanzania Prisons ambao mmeambulia point moja tu pamoja na kuwa wako pungufu?
 
Back
Top Bottom