Kwani Yanga waliwashika miguu,mbona hamjacheza na Coast,nyie wenyewe wapuuzi mnajitengenezea viporo kila siku kwa kuhairisha mechi,pambana na AMAPIANO lako.Wakuu Salaam!
Najiuliza kama hawa wapiga kelele wanakimbia taifa hawataki kucheza na Simba angalau tupate mazoezi kabla ya kwenda bondeni, au wakijitutumua kuingiza timu uwanjani tunawapiga mpaka goli nne, wakijitahidi sana labda wapate sare
Najiuliza ni timu gani nyingine iliyobaki hapa Tanzania yakushindana na Simba SC ili kuifanya Simba iwe competitive zaidi kimataifa?
Yanga wamekuwa dhaifu kiasi kwamba sasa wamebaki kufurahia kila wakiona Simba imefungwa na timu nyingine, kwani wao walishapoteza uwezo wa kuifunga Simba SC siku nyingi sana.
Mkia tuliza jazbaYanga wanachekesha leo hii wamesahau ubovu wa litimu lao wako bize kuijadili simba mara ooh ni underdog mara hawana timu halafu wao wakiminywa pumbu na timu za ligi kuu wanaanza kulia wanahujumiwa.
Sijui Yanga wamewafanyia nini kibaya Simba. Mpira ndivyo ulivyo wakubaliane na kilichowapata wajipange upya nafasi bado wanayo mbona. Si kwa mkapa hatokagi mtu?Baada ya kula 4g mmehamia kwa young African sasa
Kitakacho wakuta Simba kwa mkapa hawatoaminiSijui Yanga wamewafanyia nini kibaya Simba. Mpira ndivyo ulivyo wakubaliane na kilichowapata wajipange upya nafasi bado wanayo mbona. Si kwa mkapa hatokagi mtu?
Ilikuwa muanze na 3G pale kwa Mkapa, kabla ya kwenda kupokea 4G yenu kwa Kaizer Chiefs! Mumshukuru Bashungwa na mwananchama mwenzenu Wallace Karia kwa kutaka kuwatoa Wananchi mchezoni.Yanga kipigo hakikimbiliki,tabu ipo palepale.
Kwanini msiwacheki Tanzania Prisons ambao mmeambulia point moja tu pamoja na kuwa wako pungufu?Wakuu Salaam!