Kama Yanga wanamtaka Onyango basi wajiandae kufilisika

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
[emoji23][emoji23][emoji23]

-Meneja wa habari na mawasiliano Simba SC Ahmedy Ally amesema kuwa kama watani zao Yanga wana mpango wa kutaka kumsajili beki wao Joash Onyango basi wajiandae kutoa pesa ya maana na wafirisike kabisa maana mchezaji huyo ni wa hadhi kubwa

Amesema @ahmedally_

"Huwezi kuwa Form Four (Kidato cha nne) halafu ukatamani darasa la 7.Tunaona taarifa za Joash Onyango [emoji1139] kuhusishwa Na Yanga [emoji617] niseme tu,mchezaji aliyecheza robo fainali mbili za CCL hawezi kwenda timu inayoishia hatua za awali,labda watoe pesa nyingi na wafilisike [emoji15]..

Cc @tanzania_football



Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Yanga hawamtaki Onyango. Isipokiwa ni mbinu za management ya Onyango ili apate Contract mpya Simba. Ni kama tetesi za Bakari kutakiwa Simba. Ukweli ni kwamba Bakari anajiweka katika nafasi nzuri pale watakapoanza mazungumzo na Simba.
 
km wachezaj hatak kumuamkia lazima aondoke, onyango hapendi dharau
 
Mchezaji mbaka aote jua ndio aanze mazoezi, Yanga si kituo Cha kulea wazee.Yaani klabu ianze kununua magunia ya mkaa Ili wazee waote moto kabla ya mazoezi!! Iyo biashara nani anaitaka.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kwa vijembe tu utopolo mlibarikiwa. Nahisi wengi wenu mumeolewa kwenye ukewenza
 
Yani kama wachezaji hakuna Afrika hii mpaka wamtake mchezaji kutoka timu ilo.
Usiwe msahaulifu, Morrison, Kakolanya na wengine wengi wamesajiliwa kutoka Yanga. Hivyo Yanga nao wakiridhishwa na kiwango cha mchezaji wa Simba wanaweza kumsajili pia.
 
Hakuna Kitu Nachukia Kama Nikisikia Timu Yangu Ya Yanga Kuwahitaji Wachezaji Wa Simba.
Nyie mnasumbuliwa na watu wanaowatafutia ulaji wachezaji wanaomaliza mikataba, yanga imekamilika iende kumsajili uyo babu akamuweke nani benchi sasa kwa akili tu za kawaida? Amuweke mwamnyeto benchi? Au kijana dicksoni job? Au yannick bangala?

Hebu muwe mnajilidhisha zaidi sio kila habari inayovumishwa basi mnaimeze Kama ilivyo mnatakiwa na nyie kujiongeza, uyo onyango anamaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu ivyo yeye na meneja wake wanatengeneza mazingira ya kuonekana anahitajika na yanga ili kumpandisha thamani wapige pesa ndefu kwenye kusaini mkataba mpya kwa mikia, ni mbinu za kipuuzi zilizopitwa na wakati
 
Kwanza mlisema simba atafungwa,
Sasa hivi mnasema kimoja hakitoshi hii nchi hii [emoji119]

Anashindiliwa pirates ,kichefuchefu anapata utopolo....
Maajabu hayaishi

Kapoooombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....
Show me the waaaaaaaayyyyyy
Anawainua wanasimba uwanjaniiiiiiiiiii
Anawainua mashabiki elfu sitini hapa lupaso
Nani kasema simba haendi nusuuuuuuuu?
Uwanja unazizimaaaaaaaaaaaaa.......

Utaratibu ni ule uleeeeeeeeeee....
Utaratibu ni ule uleeeeeeeeeeeeeee......
Heshma ya Taifa la Tanzania ipo mabegani kwa wana Lunyasi........
Ukinuna uwe na sababuuuuuuuuuu
Simba inaibeba Nchi na wananchi wakeeeeeeee

Aghaaaaa aghaaaaa aghaaaaaaa

Hii ndio siri ya amaniiiiiiii na furahaaaaaaa
Simba sports clubbbbbbbbb
Simba sports clubbbbbbbbbbbb.............

Nani anatesekaaaaaaaaaaaaaaaa.......

This isssssssssssss SIMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA........

Pole wewe unayepata sononeko la moyo
Njoo simba raha zipo hukuuuuuuuuuu

Mtangazaji wa jana aliua sana

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Wanajitekenya wenyewe Simba.
 
Mchezaji mbaka aote jua ndio aanze mazoezi, Yanga si kituo Cha kulea wazee.Yaani klabu ianze kununua magunia ya mkaa Ili wazee waote moto kabla ya mazoezi!! Iyo biashara nani anaitaka.
Saido ni kijana wa 18yrs..? 🤣🤣🤣
 
Mchezaji mbaka aote jua ndio aanze mazoezi, Yanga si kituo Cha kulea wazee.Yaani klabu ianze kununua magunia ya mkaa Ili wazee waote moto kabla ya mazoezi!! Iyo biashara nani anaitaka.
kama klabu imeweka bajeti ya nyasi za ng'ombe na maji ya vyura inashindwa nini kuweka bajeti ya mkaa ambao mtautumia hata kuchemshia maji??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…