Kama yote alio ya andika Kabendera ni ya kweli jambo zito lipo mbele ya jamuhuri ya Tanzania

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Mhandishi Kabendera ameandika mambo mazito na magumu sana ila ameniliza amenitoa machozi na sasa nina taka kuamini Tabiri zangu Mungu alikuwa na Mimi.
Kifo cha Ben Saanane kiukweli kimnishituwa sana japo sishangai kwa maana kwa wale tuliona mbali tulijuwa kijana anacheza na moto wa makaa ya mawe.
Kwa maelezo na uwandishi wa Kabendera hata alieko kwenye kiti anawakati mgumu mbele ya wazee wa Taifa. Nikama naona maamuzi yatakayo fikiwa nikama naona yale yatatukia.

Kuanzia kitaluni mpaka serikali kuu kazi ipo. Wanasema kuke German baada ya Hitler wakasema never ever again. Wakasafisha mpaka nzii nakukifuta chama. Wakati wakifanya hayo mossad akawa akitafuta kila alie shiriki nakumpoteza.

Sasa unaweza kuelewa kwanini kuna viongoz wamepotea kabisa hawataki hata kujuwa kama waliwahi kuwa na nafasi ktk Taifa wanasali wakijuwa kazi ipo.

Kwa sasa kwa wale tunamacho ya mbali tuna thubutu kusema JPM hakuondoka kawaida ila ipo nguvu kubwa ilio fanya yote tuna yaona na hiyo nguvu hatuwioni kwa macho ila hata sasa ipo kazini. Karma ina nguvu Karma sio yakuchezea.

Kuna mambo mazito sana yatatokea huu mwaka mimi naona kabisa kwa uwezo na maarifa Mwenyezi Mungu kanipa huu mwaka utatetema kwa Tz. Ila tukaze moyo hii mbegu ilipandwa ikaota ikamea ikazaa mwisho ikafa sasa naona kabisa kwanini Mh Benjamin W Mkapa aliondoka mapema nakutuacha tulio kuwa na maswali mengi wakati JK akilia nakupata mshituko mkubwa sana ila mwacheni Mungu alioko mbinguni aitwe Mungu.

Pamoja na yalio tokea bado kuna watu wanaendelea na kupotezana Mungu tusamehe tusamehe tusamehe Baba yetu tunatubu kwa dam ya watu waliomwaga pasipo Hatia. Kama Kabendera anajuwa basi wote wanajuwa na kama wanajuwa basi ipo adhabu yakujuwa. Mungu alipo oka sodoma na gomora pamechafuka akasema Lutu ukitaka jiokoa usiangalie nyuma nawaona watu wame angalia nyuma na wengi ni jiwe la chumvi japo wanatembea.

Mwandishi mmoja akasema dam ya mtu ina nuka hatari na ukiimwaga ina tafuta kisasi. Ndio maana Rwanda walikatana mapanga kama kuku baada ya dam kufika kikomo, wakenya wameuwana baada ya dam kufika kikomo chini ya Moi aliliongoza Taifa kwa mkono wa chuma na yeye kama Magu inasemekana alimuuwa mtu ndani ya ikulu sasa unaweza kujuwa why sio magogoni wala Dodoma ila kizimkazi. Mola tuponye mola tunusuru tunaomba lisamehe Taifa letu..

Ningelikuwa mimi mwisho wakugombea 2025 nisinge endelea kuipisha hukumu maana yajayo yanafurahisha kama huna moyo una kauka madhabauni. Nchi ngumu sana hata sijuwi kwanini watu wanatamani uongozi kiasi hiki. Haki uwinua taifa ila dhuluma kwa mnyonge Mungu hushuka nakujibu ni swala la muda. Mungu tuhurumie tuna tubu haya yote

Viongozi wa Dini semeni hili watu watubu nakuomba Mungu anaenda shusha kiboko kikali sana hakuna ataweza kuamini
 
Unadhani tumekusahau mleta mada?

Suala la Ben Saanane siku likifikia hatua ya kupelelezwa nina uhakika wewe utakuwa mmoja wapo watakaopandishwa kizimbani.

kwa vitisho ulivyokuwa unavitoa kwa Ben Saanane humu jukwaani nina uhakika na wewe ulikuwa mmoja wa watu mliomteka na kumpeleka Ikulu kwa Magufuli ambapo alimpiga risasi mbele yenu.
Mhandishi Kabendera ameandika mambo mazito na magumu sana ila ameniliza amenitoa machozi na sasa nina taka kuamini Tabiri zangu Mungu alikuwa na Mimi.
Kifo cha Ben Saanane kiukweli kimnishituwa sana japo sishangai kwa maana kwa wale tuliona mbali tulijuwa kijana anacheza na moto wa makaa ya mawe.
Kwa maelezo na uwandishi wa Kabendera hata alieko kwenye kiti anawakati mgumu mbele ya wazee wa Taifa. Nikama naona maamuzi yatakayo fikiwa nikama naona yale yatatukia.

Kuanzia kitaluni mpaka serikali kuu kazi ipo. Wanasema kuke German baada ya Hitler wakasema never ever again. Wakasafisha mpaka nzii nakukifuta chama. Wakati wakifanya hayo mossad akawa akitafuta kila alie shiriki nakumpoteza.

Sasa unaweza kuelewa kwanini kuna viongoz wamepotea kabisa hawataki hata kujuwa kama waliwahi kuwa na nafasi ktk Taifa wanasali wakijuwa kazi ipo.

Kwa sasa kwa wale tunamacho ya mbali tuna thubutu kusema JPM hakuondoka kawaida ila ipo nguvu kubwa ilio fanya yote tuna yaona na hiyo nguvu hatuwioni kwa macho ila hata sasa ipo kazini. Karma ina nguvu Karma sio yakuchezea.

Kuna mambo mazito sana yatatokea huu mwaka mimi naona kabisa kwa uwezo na maarifa Mwenyezi Mungu kanipa huu mwaka utatetema kwa Tz. Ila tukaze moyo hii mbegu ilipandwa ikaota ikamea ikazaa mwisho ikafa sasa naona kabisa kwanini Mh Benjamin W Mkapa aliondoka mapema nakutuacha tulio kuwa na maswali mengi wakati JK akilia nakupata mshituko mkubwa sana ila mwacheni Mungu alioko mbinguni aitwe Mungu.

Pamoja na yalio tokea bado kuna watu wanaendelea na kupotezana Mungu tusamehe tusamehe tusamehe Baba yetu tunatubu kwa dam ya watu waliomwaga pasipo Hatia. Kama Kabendera anajuwa basi wote wanajuwa na kama wanajuwa basi ipo adhabu yakujuwa. Mungu alipo oka sodoma na gomora pamechafuka akasema Lutu ukitaka jiokoa usiangalie nyuma nawaona watu wame angalia nyuma na wengi ni jiwe la chumvi japo wanatembea.

Mwandishi mmoja akasema dam ya mtu ina nuka hatari na ukiimwaga ina tafuta kisasi. Ndio maana Rwanda walikatana mapanga kama kuku baada ya dam kufika kikomo, wakenya wameuwana baada ya dam kufika kikomo chini ya Moi aliliongoza Taifa kwa mkono wa chuma na yeye kama Magu inasemekana alimuuwa mtu ndani ya ikulu sasa unaweza kujuwa why sio magogoni wala Dodoma ila kizimkazi. Mola tuponye mola tunusuru tunaomba lisamehe Taifa letu..

Ningelikuwa mimi mwisho wakugombea 2025 nisinge endelea kuipisha hukumu maana yajayo yanafurahisha kama huna moyo una kauka madhabauni. Nchi ngumu sana hata sijuwi kwanini watu wanatamani uongozi kiasi hiki. Haki uwinua taifa ila dhuluma kwa mnyonge Mungu hushuka nakujibu ni swala la muda. Mungu tuhurumie tuna tubu haya yote

Viongozi wa Dini semeni hili watu watubu nakuomba Mungu anaenda shusha kiboko kikali sana hakuna ataweza kuamini
 
Upe muda nafasii acha kubwabwaja mkuu..

Unaijua V8 weweeee.....
 
Huna wema wowote .. Kati ya walifurahishwa na upoteaji wa Ben wewe ni mmoja wao.
 
Tz tunahitaji restructure sio ya kitoto. Kwa nature ya hawa viongozi hamna kipya kitafanyika na kitabadirika, ni kama tumelaanika - wenye nafasi wanapindisha sheria na utaratibu kwa maslahi ya watu wachache.
CCM ndo chanzo cha haya yote.
CCM haina mvuto tena...wote wanaoisupport CCM wanafanya dhambi hiyohiyo kama viongozi wao.
 
Mhandishi Kabendera ameandika mambo mazito na magumu sana ila ameniliza amenitoa machozi na sasa nina taka kuamini Tabiri zangu Mungu alikuwa na Mimi.
Kifo cha Ben Saanane kiukweli kimnishituwa sana japo sishangai kwa maana kwa wale tuliona mbali tulijuwa kijana anacheza na moto wa makaa ya mawe.
Kwa maelezo na uwandishi wa Kabendera hata alieko kwenye kiti anawakati mgumu mbele ya wazee wa Taifa. Nikama naona maamuzi yatakayo fikiwa nikama naona yale yatatukia.

Kuanzia kitaluni mpaka serikali kuu kazi ipo. Wanasema kuke German baada ya Hitler wakasema never ever again. Wakasafisha mpaka nzii nakukifuta chama. Wakati wakifanya hayo mossad akawa akitafuta kila alie shiriki nakumpoteza.

Sasa unaweza kuelewa kwanini kuna viongoz wamepotea kabisa hawataki hata kujuwa kama waliwahi kuwa na nafasi ktk Taifa wanasali wakijuwa kazi ipo.

Kwa sasa kwa wale tunamacho ya mbali tuna thubutu kusema JPM hakuondoka kawaida ila ipo nguvu kubwa ilio fanya yote tuna yaona na hiyo nguvu hatuwioni kwa macho ila hata sasa ipo kazini. Karma ina nguvu Karma sio yakuchezea.

Kuna mambo mazito sana yatatokea huu mwaka mimi naona kabisa kwa uwezo na maarifa Mwenyezi Mungu kanipa huu mwaka utatetema kwa Tz. Ila tukaze moyo hii mbegu ilipandwa ikaota ikamea ikazaa mwisho ikafa sasa naona kabisa kwanini Mh Benjamin W Mkapa aliondoka mapema nakutuacha tulio kuwa na maswali mengi wakati JK akilia nakupata mshituko mkubwa sana ila mwacheni Mungu alioko mbinguni aitwe Mungu.

Pamoja na yalio tokea bado kuna watu wanaendelea na kupotezana Mungu tusamehe tusamehe tusamehe Baba yetu tunatubu kwa dam ya watu waliomwaga pasipo Hatia. Kama Kabendera anajuwa basi wote wanajuwa na kama wanajuwa basi ipo adhabu yakujuwa. Mungu alipo oka sodoma na gomora pamechafuka akasema Lutu ukitaka jiokoa usiangalie nyuma nawaona watu wame angalia nyuma na wengi ni jiwe la chumvi japo wanatembea.

Mwandishi mmoja akasema dam ya mtu ina nuka hatari na ukiimwaga ina tafuta kisasi. Ndio maana Rwanda walikatana mapanga kama kuku baada ya dam kufika kikomo, wakenya wameuwana baada ya dam kufika kikomo chini ya Moi aliliongoza Taifa kwa mkono wa chuma na yeye kama Magu inasemekana alimuuwa mtu ndani ya ikulu sasa unaweza kujuwa why sio magogoni wala Dodoma ila kizimkazi. Mola tuponye mola tunusuru tunaomba lisamehe Taifa letu..

Ningelikuwa mimi mwisho wakugombea 2025 nisinge endelea kuipisha hukumu maana yajayo yanafurahisha kama huna moyo una kauka madhabauni. Nchi ngumu sana hata sijuwi kwanini watu wanatamani uongozi kiasi hiki. Haki uwinua taifa ila dhuluma kwa mnyonge Mungu hushuka nakujibu ni swala la muda. Mungu tuhurumie tuna tubu haya yote

Viongozi wa Dini semeni hili watu watubu nakuomba Mungu anaenda shusha kiboko kikali sana hakuna ataweza kuamini
Acha kupiga kelele za ulela ulela hapa

Hakuna kitu kitatokea Nchi Iko Salama 100%
 
Kama kuna ya uongo yakanushwe kwa ithibati ili tufunge ama tufungue ukurasa mwingine
 
Kuna mambo mazito sana yatatokea huu mwaka mimi naona kabisa kwa uwezo na maarifa Mwenyezi Mungu kanipa huu mwaka utatetema kwa Tz. Ila tukaze moyo hii mbegu ilipandwa ikaota ikamea ikazaa mwisho ikafa mwacheni Mungu alioko mbinguni aitwe Mungu. Ningelikuwa mimi mwisho wakugombea 2025 nisinge endelea Mungu anaenda shusha kiboko kikali sana hakuna ataweza kuamini
Usiwe na wasiwasi, HII inakwenda kutokea 2025!.
P
 
Back
Top Bottom