Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mwacheni RC Chamalila aje Dar. Huyu mate namfahamu yupo vizuri na anajiamini sana tu.
Jiji la Dar miaka flani liliwahi kuongozwa na Yusuf Makamba. Akaweza tu. Itakuwa Chalamila?
Acheni maneno yenu. Chalamila anafaa na nitapendekeza aje haraka aanze kazi. Tuliongozwa na Yusuf Makamba itakuwa Chalamila? Ambaye ana akili nzuri tu.