Kama Zitto Kabwe unaweza kununuliwa ukipewa nchi si utatupiga mnada?



Huyu urais atausikia tu! Alishapoteza sifa siku nyingi sana nyuma!
 
Asinge tuambia tunajenga kwa pesa zetu za ndani
Kwani mkuu ukikopa utalipa kwa pesa gani kama sio pesa zako mwenyewe?

Kukopa maana yake umepewa pesa zako ambazo ungesubiri kuzikusanya kwa muda flani, mtu ama taasisi inajitokeza inakupatia halafu wewe utakusanya taratibu taratibu utalipa kwa riba kidogo

Mbona ni simple logic.
 
Huwezi kuyasikia hayo yote kwa sababu nchi inaongozwa kifisadi Sasa,Fedha za wizi zinafacilitate kila kitu watu hawafanyi kazi wanategemea madeal tu
 

Mtz mmoja mwenye akili. Hizi pesa ukijenga miumbombinu ya kusafirisha mboga, matunda, kuchukua bidhaa nyingi vijijini unawasaidia 70% ya watu wako
 

Mikopo ya hovyo unapangiwa masharti kila kitu muhimu kwenye maisha ya Mtanzania umeme, gas usafkwairi, mbolea, Choma masoko ndio kiwe kipaumbele, kimilikiwe na sisi.
 
Zitto anaongea Facts ambazo watoto wa Mwendazake hawapendi kuzisikia.
 

Bado hujaelewa mada iliyoko mbele yetu. Kinachoelezewa ni kuwepo kwa price tag mgongoni kwa Zito. Sasa wewe unaanza sijui habari za uhuru wa habari.
 
Bado hujaelewa mada iliyoko mbele yetu. Kinachoelezewa ni kuwepo kwa price tag mgongoni kwa Zito. Sasa wewe unaanza sijui habari za uhuru wa habari.
Uhuru wa habari una connection na mada.
Zitto anawafahamisha watu madudu ya mwendazake ambayo yalikuwa hayaandikwi kipindi akiwa hai sababu ya udikteta...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…