So kila nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna WANAWAKE?
What goes around come around, ndio ukweli huo jombaa!Kama kila nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke,basi pia kila nyuma ya anguko au "kufeli"kwa mwanaume kuna mwanamke!!Au sio?!??!
i dont think kila successful man ana woman nyuma yake especially kwenye hii era ya homosexuality............
hao unaowasema angalia mchango wa mama zao wazazi!Huo usemi si kweli kihivyo. Kuna watu kibao tu ambao nawajua mimi ambao wana mafanikio bila ya kuwa na wanawake. Nadhani ni usemi tu ambao nia yake kuu ilikuwa ni kuwapa wanawake faraja ya aina fulani ili na wao wasijione kuwa wako duni na hawana mchango wowote.
hao unaowasema angalia mchango wa mama zao wazazi!
Sio WANAWAKE amesema mwanamke. Ni kwel kabisa mkuu.So kila nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna WANAWAKE?
tumo tena sana.So hata kwenye mafanikio hammo!!
aliyekupandisha akitangulia kufa?! Haushuki?Hii ni kweli kabisa coz, anayekupandisha ndiye atakaye kushusha.
si kila mafanikio ya mwanamume yana mchango wa mwanamke,mfano kwenye masomo mwanamume akiendekeza wanawake ni mara chache sana akafanikiwa. kwa hiyo nadhani kuna baadhi ya maeneo ambayo nguvu ya mwanamke huwa ina nafasi na kwingi ni juhudi binafsi za mwanamume. ingawa pia siamini kama huu usemi uliwekwa ili wanawake wasijisikie wanyonge na kuwa hawana mchango wowote, ni kweli hasa kwenye maisha ya ndoa endapo mume aitapata mke wa ajabuajabu basi ni mara chache sana kufanikiwa kimaisha hata kama mume atakuwa na uwezo wa fedha, kazi nzuri au mipango mizuri wanawake huwa ni either watengenezaji au wavurugani (hasa kwenye ndoa) nimeshuhudia wanawake wakiwafanikisha wanaume na pia niameshuhudia wanawake wakiwavurugia kabisa maisha wanaumesiyo lazima kwa kila jambo ila inaweza kuwa moja ya sababu