econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Pamoja na kutumia matrilioni ya fedha kwenye kampeni zake, mgombea wa urais Kamala Harris ameacha Deni la Tshs Bilioni 5. Kiasi kikubwa kilikopwa kwaajili ya kulipia watu maarufu waweze kumpigia kampeni Kamala na kuvutia mashabiki wao wamchague Kamala. Mfano, Oprah Winfrey, Eminem, Usher, Taylor Swift, Lebron James, the Avengers etc .
Kwa Sasa Democrats wanalaumiana ilikuwaje walichangisha kiasi kikubwa Cha pesa kwaajili ya kampeni kuliko Republicans lakini hao Republicans wamewaahinda na kubaki na akina ya pesa ya michango ya kampeni huku democrats wakiangukia pua na kubaki na madeni.
Swali linakuja, Kama Kamala ameshindwa kusimamia pesa za kampeni je angeweza kusimamia uchumi wa marekani?.