Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Inaonekana Kamala Harris leo atafanya sherehe kwani muda mchache uliopita ametoa tamko mara baada ya kiongozi wa Hamas Yahaya Sinwar kuuwawa.
Katika tamko lake Kamala amesema kuwa dunia itakuwa ni sehemu nzuri zaidi ya kuishi mara baada ya Sinwar kuuwawa.
Nasubiri kuona kama Trump nae atatoa tamko.
Soma Pia
Alafu FaizaFoxy yuko wapi? Kwanini simuoni humu akichangia mada za kifo cha Sinwar?
Atakayekutana nae kwenye uzi wowote humu jukwaani anitag!
Source: ABC News