Bila kutangaziwa na Hamas zinabaki kuwa habari nusu tu.Wakuu,
Inaonekana Kamala Harris leo atafanya sherehe kwani muda mchache uliopita ametoa tamko mara baada ya kiongozi wa Hamas Yahaya Sinwar kuuwawa.
Katika tamko lake Kamala amesema kuwa dunia itakuwa ni sehemu nzuri zaidi ya kuishi mara baada ya Sinwar kuuwawa.
Nasubiri kuona kama Trump nae atatoa tamko.
Soma pia
Alafu FaizaFoxy yuko wapi? Kwanini simuoni humu akichangia mada za kifo cha Sinwar?
Atakayekutana nae kwenye uzi wowote humu jukwaani anitag!
View attachment 3128203
Source: ABC News
Endelea kusubiri matangazo ,Bila kutangaziwa na Hamas zinabaki kuwa habari nusu tu.
Naanza kumwamini Nyani Ngabu kuwa Kamala ni sawa na samaki w mapambo, kichwani sifuri=sufuriTrump alishasema, pamoja na kuwa na mme myahudi lakini Kamala hawapendi wayahudi. Mwisho wa kunukuu
Lakini kwa kuwa siasa ni mchezo mchafu na uchaguzi unakuja lazima ajikombe
Naam, naendelea kusibiri, siwaamini mashoga wa kizayuni na mabasha zao wakimarekani.Endelea kusubiri matangazo ,
Sijui hata kama atapata kura nyingi za BlacksNaanza kumwamini Nyani Ngabu kuwa Kamala ni sawa na samaki w mapambo, kichwani sifuri=sufuri
Hamas wakiconfirm utafanyajeNaam, naendelea kusibiri, siwaamini mashoga wa kizayuni na mabasha zao wakimarekani.
Siendi na habari za mazayuni hata siku moja.Mkuu kubali tu matokeo kwamba mmepigwa na kitu kizito.
Wewe upo hapo kibarazani vingunguti una kuna nazi na kibao cha mbuzi..Bila kutangaziwa na Hamas zinabaki kuwa habari nusu tu.
Mazayuni hata wakisema nini siwaamini. Siyo mara yao ya kwanza kutangaza uongo na vifo vya uongo.Wewe upo hapo kibarazani vingunguti una kuna nazi na kibao cha mbuzi..
Baba yenu na nani? Please, do not generalize.Japo baba yetu ni mmoja ila hatupendani to the death.