Dauson Evarister
New Member
- Sep 17, 2024
- 3
- 8
Vuguvugu la siasa limepamba moto kuelekea uchaguzi mkuu wa tarehe 05 november huko Chini marekani, Pia tukitarajia uchaguzi wa serikali za mitaa kufanyika hapa Tanzania mnano tarehe 27 november 2024.
Napata hisia tofauti juu ya uchaguzi mkuu wa marekani, natumia jukwaa hili la jamiiforum kutoa maoni yangu .
Kamala Harris hatoshinda uchaguzi mkuu ila atatangazwa kama mshindi, Na Trump atashinda uchaguzi lakini hatotangazwa kama mshindi. Unajua Kwanini?
Kamala Harris ana influencial power ndogo, hoja dhaifu na kikubwa zaidi ni kiumbe dhaifu(inferior), nasema ni kiumbe dhaifu kwa maana ya kwamba marekani ni Nchi kumbwa ni baba wa mataifa mengine( dominant country) Hivyo kukubali white house ikaliwe na mwanamke siyo maamzi rahisi, kwa sababu hizo na nyenginezo nyingi atapoteza pambano Lakini ataibuka mshindi, Kwasababu, 👇
Nyuma yake anakingiwa kifua na wazee mashuhuri wa kucheza sarakasi wakiwa chini ya uangalizi wa BARACKA OBAMA (former president), ikiwa wote tunaamini mwanamke hajapewa sauti ya kimamlaka( sauti ya kijeshi) hivyo Genge la OBAMA litampitisha mwanamke akalie holy chair hili waweze kupitisha ajenda zao kirahisi kwa ajiri yao, chama chao na vizazi vyao, hii inatoa tafsiri ya kwamba baada ya Kamala Harris kuingia ikulu, atakuwa ni Kiongozi kivuli ambaye naye atakuwa chini ya imaya ya genge la Obama. Mfano huu ni mithiri ya kinachoendelea Chini Tanzania chini ya Utawala wa Samia suluhu hassani na genge la Jakaya kikwete.
Donald Trump atashinda uchaguzi lakini hatokalia Holy chair, tramp ana hoja imara, ana ushawishi mkubwa, ana uzoefu, ana sera nzuri, ana msimamo, kuna kitu itakua alikisahau white house anataka akifate😊, unfortunately hatokubaliwa kusogea hata mlangoni kwakuwa kuna watu watashindwa kuendelea kulamba asari kwenye vibuyu vya Ikulu.
Uchaguzi huu wa marekani unasisimua hisia za kila mtu kuona nini kitatokea , naufananisha na uchaguzi wa mwaka 2015, JPM vs Lowasa. Licha ya kwamba simuungi mkono trump kwa baadhi ya kauli zake za kibaguzi dhidi ya waafrika Lakini sioni na siamini kama Kamala Harris anaweza kuingoza marekani.
Women were created to give birth and decorate the world, not to rule!
Asante.