Wamarekani walishuhudia kasi aliyokuwa nayo Trump ya kushinda Urais, wakati mgombea wa Democrat alipokuwa Joseph Robinette Biden Jr.
Kuingia kwa Kamala Harris kumebadili kabisa mwelekeo; hasa ukizingatia kuwa Trump alikuwa anakazia udhaifu binafsi wa Biden kutokana na umri, na akajisahau kuzungumzia issues. Mbaya zaidi Trump amemchagua Veep candidate ambaye pia ana misimamo yenye utata kwa wamarekani kuhusu abortion na voting rights.
Kamala ni mtoto wa mjini akiwa kapitia maisha fulani yanayomfanya aweze jichanganya na vijana na hasa Gen Z; yuko maarufu sana kwa Gen Z. and the lady can talk, when you pitch her against an opponent in a debate.
Hata ingawa wajuzi wa masuala ya kisiasa hawamuamini sana as Commander in Chief, hasa ukizingatia, wanasema huchekacheka hovyo hata kwa vitu trivial. Kamala Harris is a Palestine symphasizer, jambo linalo resonate na Arab Americans alipokuwa Michigan ame hint kuiwekea vikwazo Israel
Ninaamini kabisa Kamala atashinda kwa sababu zifuatazo:
1. Strength ya Trump ilikuwa Udhaifu binafsi wa Biden kutokana na Umri
2. Maandamano mengi ya Vijana wa Universities ambao ni matokeo ya Antifa na Muslim brotherhood brain washing
3. Majimbo ambayo Wamarekani huyaita swing states, baadhi yao kwa sasa hivi yako na Waislamu wengi. Minnesota (Somalis), Michigan (Arabs & Palestinians) Pennsylvania
4. Kuna wimbi la vyama vya Mrengo wa kushoto huko nchi za magharibi kushika madaraka. Huko Spain (socialist party) France, Rais Macron chama chake, Renaissance ni centrist/Liberal lakini uchaguzi wa Karibuni wa Bunge ni Socialists ndiyo wameshinda na hivyo ndiyo wanatakiwa kuchukua nafasi ya Waziri Mkuu (Anayeendesha Serikali).
Huko UK chama cha Labour chenye mrengo wa kisocialist ndiyo kwa sasa kiko madarakani. Kwa ujumla hivi vyama vya Kisoshalisti havina record nzuri na kanisa