Rais anachaguliwa kwenye kura na kwa hali ilivyo computer zinazotumika kupiha kura zimeonyesha kuwa na hirilafu inayompa kura nyingi zaidi Kamala, uwezekano mkubwa zaidi Kamala Harris awe rais wa 47 wa Marekani.
Ikumbukwe hata uchaguzi wa 2020 kuna hitilafu zilitokea kwenye computer za kupiga kura lakini jambo la kushangaza ni kwamba hitilafu zote ziliongeza kura za Democrats
Katika uchunguzi wa mashine za kupigia kura, Wataalam wamegundua kuna hitilafu kwenye mashine, Katika mazingira yanayoendelea kuchunguzwa kuna hitilafu ya wapiga kura kutaweza kumchagua Trump na hitilafu nyingine ya kura kujipiga kwa Kamala unapomchagua Trump
Majimbo 15 hutakiwi kupiga kura kwa kitambulisho chochote kile, hii itawezesha maharamia takribani milioni 20 walioingia awamu ya Biden kupiga kura kwa Kamala kwa hofu ya kufukuzwa nchini humo na Trump alieapa kuwafukuza