Kamanda David Misime, kama hamkumpa mtu haki yake ya kuita wakili, ndugu yake anayemuamini AWEPO WAKATI MNAMKAMATA, basi huo ni UTEKAJI

Kamanda David Misime, kama hamkumpa mtu haki yake ya kuita wakili, ndugu yake anayemuamini AWEPO WAKATI MNAMKAMATA, basi huo ni UTEKAJI

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
abduction: the action of taking someone away by force or deception.

Kwa definition hiyo, mnachokifanya ni KUTEKA WATU. kama hakuna utekaji, mpigie simu aje, au mkamateni wakiwepo wanaomhusu huyo mtuhumiwa wenu such as wakili wake, ndugu anayemuamini and the like!

Short of that ni UTEKAJI
 
Wakiteka mtu wakishindwa kumuua wanatoa taarifa za kukamatwa baada ya watu kupiga kelele lakini wakifanikiwa kumuua mapema wanajifanya wanachunguza. Polisi ya hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom