abduction: the action of taking someone away by force or deception.
Kwa definition hiyo, mnachokifanya ni KUTEKA WATU. kama hakuna utekaji, mpigie simu aje, au mkamateni wakiwepo wanaomhusu huyo mtuhumiwa wenu such as wakili wake, ndugu anayemuamini and the like!
Wakiteka mtu wakishindwa kumuua wanatoa taarifa za kukamatwa baada ya watu kupiga kelele lakini wakifanikiwa kumuua mapema wanajifanya wanachunguza. Polisi ya hovyo kabisa