Kamanda Mambosasa aonya wanaohamasisha migomo

Kamanda Mambosasa aonya wanaohamasisha migomo

Status
Not open for further replies.

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
KAMANDA WA POLISI KANDA MAALUM DSM SACP LAZARO MAMBOSASA.

Aonya vuguvungu la watu wanaohamasisha mgomo wa madereva na wamiliki wa mabasi yaendayo mikoani.

Kamanda amesema wananchi kesho waendelee na shughuli zao kama kawaida na asb askari watakuwepo ili kuhakikisha suala la usafiri halivurugiki kwa namna yeyote ile na wale wote wanaohamasisha msako mkali unafanyika ili kuwakamata wale wote wanaoshawishi na kupanga mipango ya mgomo huo na kusimamisha uchumi wa nchi

Madereva na Wamiliki wa Mabasi yaendayo Mikoani wanepanga kufanya mgomo kutokana na dereva aliyefariki mikononi mwa polisi Mbeya. Tukio ambalo polisi wamesema wanafanyia uchunguzi
 
Kuna kitu hakipo sawa ukiona mtu anaanza kuwaza kuleta mgomo.

Wakitatue hicho ni jambo rahisi sana kuzuia hizo chokochoko.
 
Mama yoyo yupo safari huo mgomo utafanya asirudi aseee
 
Polisi waache uonevu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom