Tetesi: Kamanda Mihayo kuchukua nafasi ya Sirro Dar

Tetesi: Kamanda Mihayo kuchukua nafasi ya Sirro Dar

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Bwana awe nanyi wapendwa, baada ya kamanda siro kupanda cheo nafasi yake inaendwa kushikwa na ngosha boy kutoka mwanza naye ni kamanda mihayo

Kamanda mihayo kwa sasa ni mkuu wa opareshen ya kupambana na madawa ya kulevya

Nihayo tu nawasilisha

AMINA
 
Haina shida kikubwa sera ziwawezeshe sekta binafsi kujenga viwanda na tuvione viwanda
 
Hivi wewe ni wale vijana wanaotembea na bahasha za kaki

Thread zote lazima uchangie
Ndani ndani ya 10 bora
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sio fair.mtamfanya jamaa ajisikie vibaya humu.
 
Dah mbona ndugu zetu wa upande hule ambao kwa maksudi wamesitisha kutenda dhambi mwezi huu wanatengwa sana na awamu him???
 
Back
Top Bottom