Tatizo ni kwamba; Kwa kuwa mwajua kuwa JPM haambiwi cha kufanya mnatanguliza kuwataja taja watu ili kusudi hata kama ilikuwa bahati yake arukwe tu makusudi. Mlianza na Msangi, mkesema ni wa dini flan, sasa mmekuja na Mihayo, ili ikitokea mseme ni wa kanda flan.
Mwacheni JPM jamani, anajua afanyalo. Kama vip achague hata mwanaye, mbona Kabila alimrithi babake?? Huo si ukabila?? Si ukanda?? Achague amchaguaye, hata Bashite, tunataka mchapa kazi. IGP Mangu alitakiwa kutemwa long time ila alimwacha alambe lambe kidogo. Leo kamchagua Sirro tiyari maneno. Msiwaonee gere wenzenu. Kaoshe viatu vya Bashite, akusemee kwenye chai asubuhi uone ka jioni itafika hujalamba mzungu wa nne.