Kamanda Mkuu kikosi Cha Quds hajulikani alipo. Mara ya mwisho alikwenda Lebanon baada ya kifo cha Nasrallah

Alikuwa pamija na Nasrallah kwenye kile kikao chao cha mwisho na taarifa ilishatoka
 
Kumbe mkipiga majumba ma gas ya kupikia ya kiwaka mnaoma raha 😄 Toka lini we mtu akaweka Missiles kwenye majumba wanayo ishi watu lazima ni vichaa tu ndio wataweza kuamini.
Hao jamaa huwa wanaweka messiles hata msjid
 
Kwani taarifa za Kimsboy Webabu na Ritz zinasemaje kuhusu huyu Kamanda!?
 
Ayotollah kamhisi ni shushushuu kamtoa kisirisiri watu wasijue yaliyomkuta
 
Hapo wanapotezwa maboya israel ili waone wanapambana na Hezbollah kumbe wapo wa Irani kwenye mikakati yakupambana na o mipakani
Kwamba hili wewe unalijua vizuri zaidi kuliko Israel? 😂😂😂
 
Netanyahu kanyagia hapo hapo mzee,bado Ayatollah [emoji3]
 
Nyie walokole mnaotuuzia mafuta kwenye visoda ndio mnaumwa akili.
Hujui Al jazeera ilishafukuzwa Israel?? Hujui wandishi zaidi ya 325 wameuwawa??
Hujui hayo kweli?? Unategemea BBC au CNN ikulishe upupu na wewe uje nao hapa..
 
Hao jamaa huwa wanaweka messiles hata msjid
Wacheni story nyingi Israel anaonyesha silaha za Mrusi eti kazikuta Lebanon kwanza ni uwongo hizo video za kule Ukraine sababu hawaonyeshi mwanajeshi wa Israel afu vipi wakute silaha kuingi Lebanon hawajaingia 😄

Kwa hio ukikuta Missile kwenye Masjid ujuwe hio ni fake story, sababu hata Hospital walisema ni Central command ya Hamas na hawajakuta kitu zaidi ya kutuonyesha silaha walizo weka, na ndio dunia nzima iliwacheka kwa uwongo wao😄
 
Dunia Gani iliowacheka zaidi ya kuwapongeza Kwa kazi nzuri wanayoifanya maana sisi hatujawacheka yaani umcheke mbabe wa magaidi ambaye ameyamaliza na hayana hamu naye🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wewe unamatatizo ya afya ya akili Israel ni taifa teule ambalo linafyeka mabwana zako wa kiarabu hivyo naona umechanganyikiwa mabwana zako kufa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
We ndio una akili zisio za kiafya kama unamini Israel kashinda hi vita. Leo hi na mda hu Hamas kapiga Tela Aviv afu wewe unakuja wasifu mashoga wenzako. Mwaka mzima anapigana na kikundi cha wana mgambo hawafiki hata 7000 yeye ana askari karibu 120,000 na Reserves 70,000 kashindwa wamaliza na anasaidiwa na Nato yote hahaha. Tukiwambia mashoga hawawezi shinda vita kwa kuvunja majumba na kufanya genocide 😄
 
Narudia tena wewe unatatizo la afya ya akili unaandika gazeti lefu kisa mabwana zako wameuwawa ila sishangai maana uislamu ushoga ni sunna hahahahah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
WAmekanusha wanasema yupo salama
 

Attachments

  • Screenshot_20241007-143321_Chrome.jpg
    272.7 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…