Kamanda Muliro akanusha taarifa za uvamizi wa magari katika Daraja la Selander, Dar

Kuna wajinga wanapenda sana kuzusha hata sielewagi wanaingizaga sh ngapi kwa uzushi wao
 
Ni kweli palikua salama kipindi gari ya police inapaki pale kwa mbeke ila saa hii mzee baba ni shidaa gari haipo tena pale
Kuna boda boda na kile kichaka pale ni hatari na nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…