Kamanda Muliro: Ndio maana sitaki kubishana, Jeshi la Polisi ndio lilimuokoa Sativa kule Katavi!

Mpaka waandishi wote walicheka.
 
Kamanda Muliro alisema wanaotekwa si Chadema peke yao. Hii anamaanisha utekaji ni suala kawaida?
 
Kwa hiyo Kamanda anawatuhumu Chadema?
 
Hili linaonesha Polisi wameshindwa kulinda raia na mali zao, ndio maana inahitajika iundwe tume ya kuyachunguza mambo haya ya utekaji
 
Jitu kama limurilo unaona hasara kwa wazazi wake na taifa kwa ujumla kwa kujifanya bwege lisilo na akili mbele ya watawala madhalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…