Kwanza unaanzaje kumuuliza mwanajeshi aliye kazini kuhusu muziki wa watoto wa kiume wanaovaa milegezo na hereni masikioni?Umewauliza?
Nipaniki kwan nalinda tembo??ushapaniki tayari
kamanda wa jeshi zambi kusikiliza kwani mkuu????Huwezi kusikia kamanda wa jeshi anaongea vitu kama hivi, ila kwa polisi sio mbaya.
Ni dhambi kubwa sana. Wewe unaona sawa mwanaume kuvaa hereni masikioni, kupaka lip stick na kuonesha wanaume wenzake makalio yake?kamanda wa jeshi zambi kusikiliza kwani mkuu????
Acha kuyafanya maisha ya maaskari/majeshi kuwa magumu wewe!!inamaana wao hawana haki ya kuwa entertained?Ni dhambi kubwa sana. Wewe unaona sawa mwanaume kuvaa hereni masikioni, kupaka lip stick na kuonesha wanaume wenzake makalio yake?
Nlijua tu lazima king ahusishwe atawaua kiba alishashindikana hahahahaaaaa...Hakuna namna hata Tembo wakiskia nyimbo za chibu husahau masaibu ya kuwindwa
Wanaweweseka hahahaaaa kiba si mtu mzur naskiza wife wa dunia hapa duuuuuuuh huyu jamaa hapana kwa kweli...teh! uzi unamhusu dai mashabiki wake wanamuingiza kiba, mashabiki wa mondi buana!
Acha kupaniki dogo muuza vocha za vodacom kasifiwa na kamanda tulieni nn mnaweweseka na king kiba?Kama Kamanda kawa-boa basi chukueni ujumbe wake " wasanii waige mafanikio ya DIAMOND " maana hiyo ya yeye kusifia muziki wa DIAMOND watu imewakera kisa hajasifiwa mlinzi wa tembo.
Unauza vocha za vodacomNipaniki kwan nalinda tembo??
Mbona unatokwa na povu mkuu?
Anatangaza biashara anatuwekea makalio nje hebu nipeni namba yake ndo vitu vyangu hivyo.Ni dhambi kubwa sana. Wewe unaona sawa mwanaume kuvaa hereni masikioni, kupaka lip stick na kuonesha wanaume wenzake makalio yake?
Sio sehemu ya kazi.Acha kuyafanya maisha ya maaskari/majeshi kuwa magumu wewe!!inamaana wao hawana haki ya kuwa entertained?
Wapi nimemtaja Kiba ........... soma kwa umakini.Acha kupaniki dogo muuza vocha za vodacom kasifiwa na kamanda tulieni nn mnaweweseka na king kiba?
hahahahaaaaa Kiswahili cha Kamanda Sirro hahahaha haya bhana“Kila nyimbo yake mimi naikubali aisee, anafanya kazi nzuri na ni mfano wa kuigwa” alisema Kamanda Siro.
Utetezi wa kipuuz unadhan sisi watoto wenzio.. Kwan had utaje jina?Wapi nimemtaja Kiba ........... soma kwa umakini.