Kamanda SUGU anaua vibaya, duh!

Mkoloni akiwa msaidizi wa Sugu,aliwahi kupata madhira ya kulishwa chakula chenye sumu,aliacha shughuli zake za mziki na akawa Karibu w Sugu kwenye uchaguzi mgumu sana ambapo CCM ilipelekea rundo la wasanii Mbeya kumsaidia mgombea wa CCM,ila Sugu akashinda na akaongoza kwa wabunge wote kupata kura 32,000+

Kumuandikia hivi Mkoloni ni kumvunjia heshima!!
 
Kuna lugha za kishkaji tu usijali sana
 
Nadhani utakua ni utani tu.
 
Hawara ni Mwanamke ambae ulikua nae ukamuacha sasa unapomrudia na kutaka kumuoa ni the same anabakia kua hawara yako tu, Sasa sijajua Mkoloni aliwahi kua nae na wamerudiana au imekuaje
 
Masihara tu haya...
 
hacha kucomplicate issues,hyo ni kisela zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…