Safari hii mutajamba sana maana munamsaidia iran kuifunga hormuz maana super glue mumechemkaHormuz kuna Blockade ya Marekani iran hawezi kupitisha kitu hapo bila idhini ya kiranja wa dunia!!
Unapataga mda hata wa kuoga kweli Israel wakupe uwemsemaji wao wa taifaIran safari anateseka sana na Blockade ya Marekani!! Hakuna buashara yoyote hapo Hormuz Marekani walishaziba kabisa hakipiti kitu hapo!!
Iran ilifunga hormuz kabla ya hao wapuuzi kumsaidia kuifunga vizuri zaidiIran safari anateseka sana na Blockade ya Marekani!! Hakuna buashara yoyote hapo Hormuz Marekani walishaziba kabisa hakipiti kitu hapo!!
Mh..ndivyo ulikuwa unaandika hata ulipokiwa shule au umeandikiwaSafari hii mutajamba sana maana munamsaidia iran kuifunga hormuz maana super glue mumechemka