Kamanda wa Hamas Haitham Hawajri aliyedaiwa kauliwa aonekana

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
541
Reaction score
1,449
December 2023 Idf ilitangaza kumuua kwenye shambulizi kamanda wa Hamas Haitham Al hawajri

Siku ya jana kwenye makabidhiano ya mateka kamanda Haitham alionekana akimu-escort Keith siege na kumkabidhi kwa red cross.

Ieleweke siku kadhaa nyuma kamanda Hussein fayyad aliyetangazwa kwamba aliuliwa alionekana kwenye sherehe ya makabidhiano ya mateka
 
Hamas wameonyesha dunia nzima kwamba ni imara na wako tayari kupata nchi yao kwa gharama yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…